Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Nani kakwambia mkuu, hebu cheki bei ya IST namba C kupatana.com usiongee tu ilimradi.

Sent using Jamii Forums mobile app
screen short ulete hapa tuone, iwe clean usilete gari ambayo haifiki hata morogoro na isiwe mbuche tu. (with good condition)
sio chini ya 7m otherwise mtu awe anauza kwaajili ya kutatua shida zake binafsi za dharura ndio utabahatisha kwa 6m mpaka 6.5m.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huyo dada hauzi kutatua shida zake? Anyway ngoja nikuache na gari gari yako bwn. Ila ushauri wangu ndo huo kama kweli unataka gari hyo itembee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huyo dada hauzi kutatua shida zake? Anyway ngoja nikuache na gari gari yako bwn. Ila ushauri wangu ndo huo kama kweli unataka gari hyo itembee

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida zinatofautiana kuna zenye uharaka na zingine mda wowote unaweza kuitatua.

hiyo gari kwa sasa imepaki ndani na anatembelea rav 4 kwa sasa.

hiyo hata walengaji wa magari/madalali walifika 7m wakijua kuiuza 8m mpaka 8.5 ni reasonable anakua na profit ya 1m mpaka 1.5m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalali
Dalali
Dalali
Gari imeingia TZ mwanzoni mwa 2013.kwa bei hii hapana jaman
 
kujifunza kwenye nin ndugu?
gari ndio bei inayouzwa sasa unataka iuzwe kwa bei unayoitaka wew?


Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuuza magari.
Utawekaje picha za gari chafu? Hiyo inaonyesha limetembea barabara mbovu na menye gari si mtu wa kutake care.
Kwa hiyo, badala ya kubisha kwa kusema hiyo ndiyo bei yake, labda ungeelezea kwanini bei hiyo ni fixed.

Mileage iliyotembea ni ngapi? Maana kinachokukwamisha kutoka kwa wengi, ni umri wa gari kwa hiyo prove kuwa imekuwa chini ya mtu safi, na Morogoro ilkuwa inatumikaje.

Na kila sehemu kuna culture yake. Plate number kwa Dar ni kitu cha kuzingatia sana, thats just a suculture kama ilivyo chura kwa wanawake huku kwetu.
 
Akiuza hiyo gari hata kwa M saba, ashukuru Mungu.
Kuhusu kuiuza Dar, sahau. 'Hakuna' mtu wa Dar anaweza nunua gari namba C (esp at that price). Ni bora anunue Vitz namba D kulilo Prado ya namba C. Namba ina matter sana kwa mteja wa Dar...
Mkuu naomba elimu. Kwahyo gar ambayo imeingia Tanzania hivi karibun usajir wake wa plate namba unakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wako hii na Rav 4 Killi time ipi ambayo ipo vizuri zaidi hasa comfortability,uimara wake,je ikiwa highway haiyumbi yumbi mkuu na ulaji wa mafuta? Mchango wako muhimu sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…