Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Kwa wale wanaojua mazuri na mabaya ya hii gari imenivutia sana
 
Ungeweka japo engine type watu wangeweza kuchangia kirahisi zaid sababu yaweza kuwa mtu ana gari yenye engine hiyo ila hajui kama Voltz ina engine type hiyo!!!!!

Kwa mfano baadhi ya Altezza na GX 110 na GX 100 zina engine aina moja!!!

Je hiyo unayoipenda ina engine gani mkuu????!!!
Ukiweka na picha utasaidia wengi!!!!!

Cc TCleverly, Goodrich, Kaizer
 
Last edited by a moderator:

Sawa kabisa mkuu OLESAIDIMU...mi navojua hizi gari ujazo wake ni 1790cc kama sijasahau. Aa hybrid kati ya SUV na Sedan. I also like it ila sina details zaidi ao mleta mada hebu weka pic na spec
 
Last edited by a moderator:

Hio Toyota Volts huwa naiona tu barabarani sijawahi kuipanda wala kuendesha, labda tukijua engine tunaweza kuijadili.
 
Bulldog Mkuu hii ni gani nzuri na imara, nimeitumia kwa mwaka 1 na nusu kabla haijapata ajali. Uwezo wa engine ni mzuri na inakidhi mahitaji yako vile utakavyo, HUTAJUTA KUWA NAYO.
 
Kwa mtizamo ni gari zuri, cc zake haizidi 2000cc na engine nyingi zake ni vvt-i model 1 zz-fe maana ni kama za platz, vitz, Ist nk. nk

Down side ni kua magari haya yapo katika phase out huko Japan, hayakupendwa sana na soko lake lilidorora ni kuanzia mwaka 2000- mpk 2003 hivi au 2002 ndo ikawa mwisho wa kutengenezwa, hayazalishwi tena ndo maana lolote utakalo lipata litakua chakavu kwa sheria za Tz yaani more than 10 years since production.

Ninahis lina ubaya wake ila binafsi nililipenda nikajaribu kuangalia experience za watu katika mtanadao sikupata ubaya wake.

I hope this helps
 

Kama ni engine type hiyo haina shida kwa kweli imetumika pia katika Opa na Rav4 na haina shida iliyoripotiwa sana.
Nimesikia kama watu wawili wakilalamikia tatizo la miss tu!

Spare za chini inafungiana na gari gani mkuu maana Spacio ni Corolla, 100 na 110 zinaingiliana pia etc! Yaan shock ups, ball joints, tie rod ends, CV joints na vitu kama hivyo!
 

Mkuu uliweza kupata jibu la hili swali la spare kuingiliana? Maana interest juu ya gari hili zimeibuka sasa natafuta reviews.
 
View attachment 140489
Bulldog Mkuu hii ni gani nzuri na imara, nimeitumia kwa mwaka 1 na nusu kabla haijapata ajali. Uwezo wa engine ni mzuri na inakidhi mahitaji yako vile utakavyo, HUTAJUTA KUWA NAYO.

Habari za Majukumu Mkuu, aisee kama ulivyosema uliwahi kumiliki hili gari ningependa maswali machache juu yake ili nifanye maamuzi yenye taarifa (informed decisions);-

1. Matumiz ya mafuta yako vipi?

2. Upatikanaji wake wa spare zake ukoje? Labda kama zinaingiliana na magari mengine

Wako katika ujenzi wa taifa,

Kanigini.
 
Wadau naombeni kunijuza juu ya ubora wa gari la aina yya TOYOTA VOLTZ imetokea kuipenda kwa ajili ya matumizi ya kawaida ofisini na binafsi. Ila nina wasiwasi juu ya either ubora na uimara wake. mie naishi mabonde kuinama zaidi ya 1,500km kutoka Dar.

Ushauri wenu utazingatiwa sana na mshukuriwe wote.
 
Ubora wake kama magari ya kawaida tu, sema hayapo mengi kwasababu wanunuzi hawakuzipenda
 
Nazikubali sana hizo gari il a sio nyingi

ni mal Nairobi na Kisumu. ujadadavua. naona nyingi ni VVTi engine je unauelewa na model ya gari hizi kwa ujumla. nataka ni vute moja
 

Mkuu Kanga kama ni TOYOTA usiulize suala la ''ubora'' maana Toyota haziulizwi kuhusu ubora, ulizia je unywaji wa mafuta wa hiyo model ukoje ? jee spare/replacement parts zake kama oil filters,etc zinapatikana kiurahisi hapa nilipo ? jee reselling value yake ikoje kwa mfano nikishainunua baadae nikataka kubadilisha gari, itauzika kiurahisi ? jee iko designed kuhimili terrain ya barabara kama ya hapa mahali XY nilipo ?
 
Bravomike nimekupata mkuu. kuna kitu nimegain. Nazidi kupata EXPOSURE
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…