Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeweka japo engine type watu wangeweza kuchangia kirahisi zaid sababu yaweza kuwa mtu ana gari yenye engine hiyo ila hajui kama Voltz ina engine type hiyo!!!!!
Kwa mfano baadhi ya Altezza na GX 110 na GX 100 zina engine aina moja!!!
Je hiyo unayoipenda ina engine gani mkuu????!!!
Ukiweka na picha utasaidia wengi!!!!!
Cc TCleverly, Goodrich, Kaizer
Ungeweka japo engine type watu wangeweza kuchangia kirahisi zaid sababu yaweza kuwa mtu ana gari yenye engine hiyo ila hajui kama Voltz ina engine type hiyo!
Kwa mfano baadhi ya Altezza na GX 110 na GX 100 zina engine aina moja!
Je hiyo unayoipenda ina engine gani mkuu?
Ukiweka na picha utasaidia wengi!
Cc TCleverly, Goodrich, Kaizer
Kwa mtizamo ni gari zuri, cc zake haizidi 2000cc na engine nyingi zake ni vvt-i model 1 zz-fe maana ni kama za platz, vitz, Ist nk. nk
Down side ni kua magari haya yapo ktk phase out huko Japan, hayakupendwa sana na soko lake lilidorora ni kuanzia mwaka 2000- mpk 2003 hivi au 2002 ndo ikawa mwisho wa kutengenezwa, hayazalishwi tena ndo maana lolote utakalo lipata litakua chakavu kwa sheria za Tz yaani more than 10 years since production.
Ninahis lina ubaya wake ila binafsi nililipenda nikajaribu kuangalia experience za watu ktk mtanadao sikupata ubaya wake.
I hope this helps
Kama ni engine type hiyo haina shida kwa kweli imetumika pia katika Opa na Rav4 na haina shida iliyoripotiwa sana!
Nimesikia kama watu wawili wakilalamikia tatizo la miss tu!
Spare za chini inafungiana na gari gani mkuu maana Spacio ni Corolla, 100 na 110 zinaingiliana pia etc! Yaan shock ups, ball joints, tie rod ends, CV joints na vitu kama hivyo!
View attachment 140489
Bulldog Mkuu hii ni gani nzuri na imara, nimeitumia kwa mwaka 1 na nusu kabla haijapata ajali. Uwezo wa engine ni mzuri na inakidhi mahitaji yako vile utakavyo, HUTAJUTA KUWA NAYO.
Ngoja nijilipue
Nazikubali sana hizo gari il a sio nyingi
Wadau naombeni kunijuza juu ya ubora wa gari la aina yya TOYOTA VOLTZ imetokea kuipenda kwa ajili ya matumizi ya kawaida ofisini na binafsi.Ila nawasi wasi juu ya either ubora na uimara wake. mie naishi mabonde kuinama zaidi ya 1,500km kutoka dar.Ushauri wenu utazingatiwa san na mshukuriwe wote .