Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

mafuta: 1700cc

mteja: one month..but i cant guarantee itakuwa rahisi kwako.

no other changamoto....
 

Dar - Kigoma mkuu itategemea umechukua mzunguko gani! Hiyo uliyotuwekea hapo naona umepitia Manyoni, Itigi, Nyahuwa, Igalula, Tabora, Urambo, Uvinza! Lakini ukitumia mzunguko wa Singida, Nzega, Kahama, Nyakanazi, Kibondo, Kasulu lazima ugonge 1500km!
 
Nipo interested na hii topic mwenye uzoefu wa hii gari naomba atusaidie
 

Mkuu una uhakika haya magari hayapo sokoni sasa hivi kweli?
 
Asee gari hizi za ukweli sanaa. Actually ndo gari ninayo tumia. Hazisumbui kabisa!
 
Wakuu habari naomba msaada kwa anaezijua gari hizi nataka kununua.Ni TOYOTA VOLTZ
1790CC
4WD
1Z ENGINE
YEAR 2002
Naomba kujua uimara,upatikanaji wa vipuri na ulaji wa mafuta wa hizi gari.
 
Hilo gari la 2002 litakuwa na kodi mzigo, Tafuta la 2006, kodi itakuwa pungufu zaid
 
Hiyo gari ni nzuri sana haina matatizo pia baadhi spea zake inashare na toyota nyingine, Pia ulaji ulaji wake mafuta mzuri saana.
 
Ulinunua mwaka gani mkuu?

Nilikua natafuta Voltz mwezi uliopita nikawacheki ndio wakanipa hiyo bei kwa bahati mbaya mimi cash ilikua chini (11M) ivyo wakanishauri waniagizie caldina ingawa moyo wangu uko kwa Voltz,ofisi zao zipo quality Plaza pale kama utahitaji mawasiliano nitakupa ukaongee nao ili ujiridhishe zaidi.
 
Mkuu unauzoefu nazo hizi gari mana nataka kuichukua. Kama una mawazo yoyote kulingana na hii gari ningependa kufahamu hasa hasa madhaifu yake na uzur wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…