Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

mafuta: 1700cc

mteja: one month..but i cant guarantee itakuwa rahisi kwako.

no other changamoto....
 
ngungwangungwa: Kutoka dar mpaka shinyanga pana umbali wa 1017.5KM, kutoka dar mpaka kigoma ni 1295KM na kutoka dar mpaka Gelib (mji upo kusini mwa somalia) kuna umbali wa 1473.3KM, ndo maana nilisema ukitembea hizo 1500KM kutoka dar kuelekea kaskazini mwa Tanzania utajikuta upo somalia. Actualy, ukitembea kutoka Dar 1500KM kuelekea upande wowote ule lazima utoke nje ya mipaka ya tanzania.

Dar - Kigoma mkuu itategemea umechukua mzunguko gani! Hiyo uliyotuwekea hapo naona umepitia Manyoni, Itigi, Nyahuwa, Igalula, Tabora, Urambo, Uvinza! Lakini ukitumia mzunguko wa Singida, Nzega, Kahama, Nyakanazi, Kibondo, Kasulu lazima ugonge 1500km!
 
Nipo interested na hii topic mwenye uzoefu wa hii gari naomba atusaidie
 
Kwa mtizamo ni gari zuri, cc zake haizidi 2000cc na engine nyingi zake ni vvt-i model 1 zz-fe maana ni kama za platz, vitz, Ist nk. nk

Down side ni kua magari haya yapo ktk phase out huko Japan, hayakupendwa sana na soko lake lilidorora ni kuanzia mwaka 2000- mpk 2003 hivi au 2002 ndo ikawa mwisho wa kutengenezwa, hayazalishwi tena ndo maana lolote utakalo lipata litakua chakavu kwa sheria za Tz yaani more than 10 years since production.

Ninahis lina ubaya wake ila binafsi nililipenda nikajaribu kuangalia experience za watu katika mtanadao sikupata ubaya wake.

I hope this helps

Mkuu una uhakika haya magari hayapo sokoni sasa hivi kweli?
 
Wakuu habari naomba msaada kwa anaezijua gari hizi nataka kununua.Ni TOYOTA VOLTZ
1790CC
4WD
1Z ENGINE
YEAR 2002
Naomba kujua uimara,upatikanaji wa vipuri na ulaji wa mafuta wa hizi gari.
 
Hilo gari la 2002 litakuwa na kodi mzigo, Tafuta la 2006, kodi itakuwa pungufu zaid
 
Hiyo gari ni nzuri sana haina matatizo pia baadhi spea zake inashare na toyota nyingine, Pia ulaji ulaji wake mafuta mzuri saana.
 
Ulinunua mwaka gani mkuu?

Nilikua natafuta Voltz mwezi uliopita nikawacheki ndio wakanipa hiyo bei kwa bahati mbaya mimi cash ilikua chini (11M) ivyo wakanishauri waniagizie caldina ingawa moyo wangu uko kwa Voltz,ofisi zao zipo quality Plaza pale kama utahitaji mawasiliano nitakupa ukaongee nao ili ujiridhishe zaidi.
 
Nilikua natafuta Voltz mwezi uliopita nikawacheki ndio wakanipa hiyo bei kwa bahati mbaya mimi cash ilikua chini (11M) ivyo wakanishauri waniagizie caldina ingawa moyo wangu uko kwa Voltz,ofisi zao zipo quality Plaza pale kama utahitaji mawasiliano nitakupa ukaongee nao ili ujiridhishe zaidi.
Mkuu unauzoefu nazo hizi gari mana nataka kuichukua. Kama una mawazo yoyote kulingana na hii gari ningependa kufahamu hasa hasa madhaifu yake na uzur wake
 
Back
Top Bottom