McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Mkuu unauzoefu nazo hizi gari mana nataka kuichukua..kama unamawazo yoyote kulingana na hii gari ningependa kufahamu hasa hasa madhaifu yake na uzur wake
Utakuwa umefanya jambo jema mkuuHapana mkuu sina uzoefu nazo ila nazipenda sana tu nimendesha mara chache ngoja niulize labda kwa swahiba nitakujuza.
Utakuwa umefanya jambo jema mkuu
Voltz showroom zinaenda Million 14 na mwaka huu tumeangaika sana kuitafuta showroom tukaishia kuzipata kwa wadau tu kwa bei za Mil 13 Minimum.
Gari nzuri sana, saaaaana nakushauri nunua.
Asante kiongozChief kwa maelezo ya jamaa anasema kwake yeye hana tatizo anaenda nalo poa hajaona jambo la kushtua so far,ila kama pia utahitaji kununua kwa mtu kuna mwana Dar es salaama mmoja ana voltz pia namba D ingawa kwa hali ilivyo ni bora kuagiza mimi ndio kanuni yangu ya kwanza kwenye gari lazima niagize.
Voltz showroom zinaenda Million 14 na mwaka huu tumeangaika sana kuitafuta showroom tukaishia kuzipata kwa wadau tu kwa bei za Mil 13 Minimum.
Gari nzuri sana, saaaaana nakushauri nunua.
Asante kiongoz kwa ushauri wako ngoja sasa na Mimi nianze kuzunguka showroom kuitafuta hii gari
Mkuu vp utumiaji wake wa mafuta? Na kuhusu bampa na taa vp maeneo gan kwa dar ambayo inaweza ikawa afadhal kweny upatikanaji wakeNinayo voltz ni nzuri, iko stable barabarani, ina pulling ya hatari na spea ni chiep, bampa zake na taa ndio stress, ukiharibu bampa kuzipata ni balaa.
Utumiaji wake wa mafuta mi naona uko fair, nikama wastani wa km 11 na 12 kwa lita. Upatikanaji wa taa zake na bampa kwa dar sijui sababu Dar mimi ni wa ubungo posta uwanja wa Taifa nikimaanisha sio mwenyeji, kwa Arusha huku wanasema ni kwa sababu hizo gari hazijawa nyingi ndio maana bampa na taa zake ni ghari. Ila ni gari nzuri na mimi yangu ni 4WD, kwa hiyo ni imara kwenye zile njia zetu.Mkuu vp utumiaji wake wa mafuta? Na kuhusu bampa na taa vp maeneo gan kwa dar ambayo inaweza ikawa afadhal kweny upatikanaji wake
Asante kiongoz, na vp matatizo yake makuu ya hii gari ni yapi nkimaanisha yanayojitokeza Mara kwa mara.Utumiaji wake wa mafuta mi naona uko fair, nikama wastani wa km 11 na 12 kwa lita. Upatikanaji wa taa zake na bampa kwa dar sijui sababu dar mimi ni wa ubungo posta uwanja wa Taifa nikimaanisha sio mwenyeji, kwa Arusha huku wanasema ni kwa sababu hizo gari hazijawa nyingi ndio maana bampa na taa zake ni ghari. Ila ni gari nzuri na mimi yangu ni 4WD, kwa hiyo ni imara kwenye zile njia zetu
Mkuu nielekeze ofisi zao zilipo. Nikaangalie.Kuna jamaa wanaitwa Japan Auto Com wako Dar walinipa hiyo bei ya 14M mpaka mikononi yaani kila kitu ilikua nyeupe na wana nyeusi manual bei iko chini ya hiyo.
Mkuu nielekeze ofisi zao zilipo. Nikaangalie.