Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Mkuu unauzoefu nazo hizi gari mana nataka kuichukua..kama unamawazo yoyote kulingana na hii gari ningependa kufahamu hasa hasa madhaifu yake na uzur wake

Hapana mkuu sina uzoefu nazo ila nazipenda sana tu nimendesha mara chache ngoja niulize labda kwa swahiba nitakujuza.
 
Utakuwa umefanya jambo jema mkuu

Chief kwa maelezo ya jamaa anasema kwake yeye hana tatizo anaenda nalo poa hajaona jambo la kushtua so far,ila kama pia utahitaji kununua kwa mtu kuna mwana Dar es salaama mmoja ana voltz pia namba D ingawa kwa hali ilivyo ni bora kuagiza mimi ndio kanuni yangu ya kwanza kwenye gari lazima niagize.
 
Voltz showroom zinaenda Million 14 na mwaka huu tumeangaika sana kuitafuta showroom tukaishia kuzipata kwa wadau tu kwa bei za Mil 13 Minimum.

Gari nzuri sana, saaaaana nakushauri nunua.
 
Voltz showroom zinaenda Million 14 na mwaka huu tumeangaika sana kuitafuta showroom tukaishia kuzipata kwa wadau tu kwa bei za Mil 13 Minimum.

Gari nzuri sana, saaaaana nakushauri nunua.

Uko sahihi kabisa hizi gari mimi nazipenda sana ila msala unakuja inataka 14 na mimi nilikua na 11 ingawa kuna jamaa mtaani anaiuza kwa 11.5 millioni ila gari za mkononi mimi muoga sana.
 
Chief kwa maelezo ya jamaa anasema kwake yeye hana tatizo anaenda nalo poa hajaona jambo la kushtua so far,ila kama pia utahitaji kununua kwa mtu kuna mwana Dar es salaama mmoja ana voltz pia namba D ingawa kwa hali ilivyo ni bora kuagiza mimi ndio kanuni yangu ya kwanza kwenye gari lazima niagize.
Asante kiongoz
 
Asante kiongoz kwa ushauri wako ngoja sasa na Mimi nianze kuzunguka showroom kuitafuta hii gari
Voltz showroom zinaenda Million 14 na mwaka huu tumeangaika sana kuitafuta showroom tukaishia kuzipata kwa wadau tu kwa bei za Mil 13 Minimum.

Gari nzuri sana, saaaaana nakushauri nunua.
 
Asante kiongoz kwa ushauri wako ngoja sasa na Mimi nianze kuzunguka showroom kuitafuta hii gari

Chief showroom watakupiga kama hauna mchecheto ni bora ukaingia befoward au SBT ukaagiza chuma kwa bei poa maana showroom unaweza kukuta 2-3 milioni umewapongeza tu.
 
Ninayo voltz ni nzuri, iko stable barabarani, ina pulling ya hatari na spea ni chiep, bampa zake na taa ndio stress, ukiharibu bampa kuzipata ni balaa.
 
Ninayo voltz ni nzuri, iko stable barabarani, ina pulling ya hatari na spea ni chiep, bampa zake na taa ndio stress, ukiharibu bampa kuzipata ni balaa.
Mkuu vp utumiaji wake wa mafuta? Na kuhusu bampa na taa vp maeneo gan kwa dar ambayo inaweza ikawa afadhal kweny upatikanaji wake
 
Mkuu vp utumiaji wake wa mafuta? Na kuhusu bampa na taa vp maeneo gan kwa dar ambayo inaweza ikawa afadhal kweny upatikanaji wake
Utumiaji wake wa mafuta mi naona uko fair, nikama wastani wa km 11 na 12 kwa lita. Upatikanaji wa taa zake na bampa kwa dar sijui sababu Dar mimi ni wa ubungo posta uwanja wa Taifa nikimaanisha sio mwenyeji, kwa Arusha huku wanasema ni kwa sababu hizo gari hazijawa nyingi ndio maana bampa na taa zake ni ghari. Ila ni gari nzuri na mimi yangu ni 4WD, kwa hiyo ni imara kwenye zile njia zetu.
 
Utumiaji wake wa mafuta mi naona uko fair, nikama wastani wa km 11 na 12 kwa lita. Upatikanaji wa taa zake na bampa kwa dar sijui sababu dar mimi ni wa ubungo posta uwanja wa Taifa nikimaanisha sio mwenyeji, kwa Arusha huku wanasema ni kwa sababu hizo gari hazijawa nyingi ndio maana bampa na taa zake ni ghari. Ila ni gari nzuri na mimi yangu ni 4WD, kwa hiyo ni imara kwenye zile njia zetu
Asante kiongoz, na vp matatizo yake makuu ya hii gari ni yapi nkimaanisha yanayojitokeza Mara kwa mara.
 
Hizi gari uzalishaji wake ulishasitishwa kitambo ndo maana kupata hizo taa na bumper ni ishu.
 
Kuna jamaa wanaitwa Japan Auto Com wako Dar walinipa hiyo bei ya 14M mpaka mikononi yaani kila kitu ilikua nyeupe na wana nyeusi manual bei iko chini ya hiyo.
Mkuu nielekeze ofisi zao zilipo. Nikaangalie.
 
Mkuu nielekeze ofisi zao zilipo. Nikaangalie.

63fd80b8d8b174959b2e9320f971bd8a.jpg

98e3236d42fb2e429e11d8b9d63558b1.jpg

Pitia umo utapata kila habari zao zote.
 
Endapo mtu anafahamu kuhusu hili gari msaada tafadhali.
 
Sifa zake si zimeandikwa kwenye web za kijapan huko ingia hata be forward watakuonesha specification. Ndio ushapata sifa zake tayari
 
Back
Top Bottom