Mkuu kwa yeyote anaehitaji hii Gari anione, Nina Voltz mpya kabisa toka japaniWamerekani wanaziita Pontiac Vibe. Gari moja nzuri sana na Ziko stable barabarani. Go for it.
Weka kapicha kidogo na bei piaMkuu kwa yeyote anaehitaji hii Gari anione, Nina Voltz mpya kabisa toka japani
Weka kapicha kidogo na bei pia
Unavunja?Mkuu kwa yeyote anaehitaji hii Gari anione, Nina Voltz mpya kabisa toka japani
Sijakuelewa PaziiUnavunja?
Hapana, sifanyi hiyo kitu.Yaani mtu anaweza akakupa gari flani ambayo ipo kwenye condition nzuri akakuongeza na hela ukampa hiyo voltz?
Kauza mashamba ya urithiMkuuu grisi umepata wap
Hahahaha. Nimejichanga tu mkuu kwa miaka kadhaaMkuuu grisi umepata wap