Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Wadau mmejibu kama kimkato flani hivi. Hizo specs kweli kila kona zipo. Ila nahisi mleta mada alitaka kupata experience kutoka kwa watu waliowahi kuzitumia hizo gari katika mazingira yetu ya Tz. Hapo ni vitu kama uimara wa bodi in relation to our roads, fuel consuption pamoja na upatikanaji wa spare parts (how affordable or expensive are they) ukilinganisha na Toyota Brands zingine.

Nahisi hadi hapo nimejitahidi kuweka uzi straight
 
Ni gari nzuri sana. Haina madhaifu. Ni gari ya Mmarekani imetengenezwa na NUMMI sema ikauzwa kwenye soko la Japan kati ya mwaka 2002 hadi 2004 kwa jina la Toyota Voltz. Awali ilikuwa inaitwa Pontiac huko North America ikiwa na baadhi ya features za Toyota Matrix.

Engine yake haina tofauti na engine ya Toyota Wish, Toyota Spacio ya 1.8 lt na ya Toyota Premio ya 1.8lt. Kuhusu uimara iko vizuri na spare parts zinapatikana coz watu kibao tu wanazimiliki.
 
Hivi nawezaje kudownload manual book ya gari flani online? Ipo web? Msaada
 
Weka kapicha kidogo na bei pia
09ba4353b5432a3c89e4e932a350e023.jpg
e3eebba640165dcabfdf188dc490275b.jpg
599013b7e7cb80cd17c36515eed79c24.jpg


Umetoka japani, kampuni ya Toyota na haili sana wese injini yake ni cc_986.

Odometer yake ni 0 kabisa.

Full A/C...!!

Inaenda kwa 17m tu za madafu.
 
Yaani mtu anaweza akakupa gari flani ambayo ipo kwenye condition nzuri akakuongeza na hela ukampa hiyo voltz?
 
Yaani mtu anaweza akakupa gari flani ambayo ipo kwenye condition nzuri akakuongeza na hela ukampa hiyo voltz?
Hapana, sifanyi hiyo kitu.

Hii inauzwa kwa hiyo hela niliotaja hapo.
 
Amani iwe kwenu wadau. Nimejichanga na nataka kununua gari aina ya Toyota Voltz kwa matumizi ya nyumbani. Itakuwa ikitumiwa zaidi na wife kwenda job na kurudi umbali wa takriban km 40 kwa siku (kwenda na kurudi)

Naomba ushauri juu ya uimara wa hiyo gari, upatikanaji wa spear parts na mambo mnayoona yanafaa kuyajua.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom