American Diversity Visa Season for the year 2023
Accurate information, Questions and Answers about this Business Visa.
Avoid cheating; note no fees are charged for submitting your application.
Leo nilikuwa najaribu kuapply hii kitu,nimeingiza taarifa za mwanzo page part 1 nikamaliza but kila nikisubmit then niende next inakataa. Mtoa mada hebu nisaidie kwa hili
Leo nilikuwa najaribu kuapply hii kitu,nimeingiza taarifa za mwanzo page part 1 nikamaliza but kila nikisubmit then niende next inakataa. Mtoa mada hebu nisaidie kwa hili
Mkuu umechukua muda gani kujaza?. Mi ilizingua kwasababu nilichukua muda mwingi kwahiyo session imetime out. Niliposubmit ikafail.
Zingatia muda.
Pia hakikisha sehemu ambazo lazima kujaza unajaza. Optional unaweza kupotezea.
Mi nimemamalizia sasa hv kujaza.