Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Wakuu naomba nielekezeni jinsi ya kudownload movies.
 
The dorect link site naikibali
Www.tricksfprpc.com

Kuna movie updated daily
Na zinakuwa na option 2
1.the same movie mb 250 to 300
2.au mb 500 to 800

Pia wanaweka series na softwares

Hio links mbona haifunguki mkuu, hebu check labda ulikosea
 
Waungwana naomba msaada wa kujuzwa ni program gari iliyo bora ambayo naweza nika install kwa laptop yng nikaweza kuangalia movie online na kuzipakua bila tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…