Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

website ya seedr umemaanisha nini? sorry kwa usumbufu
Ingia website yoyote ya torrent mfano 1337x.to.
1000000107.jpg

screenshot ya website ya 1337x.to
Baada ya kufungua hiyo website yoyote ya torrent chagua unachotaka kuishusha kwenye simu. Ni nzuri kutumia mfumo wa 'swipe gesture' ili kuweza kuyaruka matangazo unayokutana nayo (kubonyeza icon ya back kila muda inachosha badili kwanza mfumo wa gesture)
1000000108.jpg

Hii screenshot baada ya kuchagua unachotaka kushusha.

Hold kwenye hiyo button ya 'Magnet download' na baada ya hapo chagua neno 'copy link address'. Angalia screenshot hapo chini

1000000109.jpg


Hapo utakuwa umeipata link ya muvi, baada ya hapo nenda kwenye website ya seedr.cc. Screenshot ipo hapo chini.
1000000110.jpg

Baada ya hapo bonyeza neno 'Login' baada ya hapo chagua ku-log in kwa kutumia email yako (gmail, yahoo etc.). Ukiiweka hiyo email unaendelea na mengine.
1000000111.jpg

Baada ya kuweka email muonekano utakuwa hivi
1000000112.jpg

Hìi website ya seedr.cc inasaidia kushusha video/audio/software iliyo chini ya 2GB.

Sasa turudi kwenye ile link uliyoikopi kule mwanzo. Utabonyeza alama ya + iliyo upande wa juu wa kulia. Sehemu iliyoandikwa paste your link utai-hold na kuipaste hiyo link
1000000113.jpg

Baada ya kuipaste hiyo link utabonyeza tena alama ya + na hapo litakuja file kama hapo chini
1000000116.jpg

Baada ya hapo bonyeza dots tatu za upande wa kulia wa file na utachagua neno download, hapo utaanza kudownload. Ukimaliza utalifuta hilo faili (kwenye simu itakuja muvi uliyoidownload, na hapa utaenda kukopi mafaili mengine na kuyaanza kuyapaste tena)
1000000117.jpg
 
Back
Top Bottom