Emmanuel041
Senior Member
- Dec 4, 2017
- 109
- 115
Wewe ni mpuuzi zaidi kuliko hizo Website, hafu sikia we mjinga mmoja hio post Hakuna sehemu imeandikwa mjinga wewe kuisoma nashangaa unavotolea povu Hizo website ulizani huko wanagawa hela??? Vigezo na mashart kuzingatiwa ukiona huhitaji kujisajili Fungua Na wewe website yako.Website ni extratorrents na pirates bay basi. Huo upuuzi ulioweka wote ni kama uchafu tu! We site gani mpaka ujisajili waanze kukutumia ma spam emails kukujazia upuuzi tu.
Weka sites 3 zisizo na maupumbavu mengi ikiwemo kulazimishana kujisajili
Kuna mahali nimekuita mjinga mkuu? Ama hujawahi faulu somo la kiswahili toka uanze shule? Ukiwa unapost mara nyingine acha wenge na tumia akili!Wewe ni mpuuzi zaidi kuliko hizo Website, hafu sikia we mjinga mmoja hio post Hakuna sehemu imeandikwa mjinga wewe kuisoma nashangaa unavotolea povu Hizo website ulizani huko wanagawa hela??? Vigezo na mashart kuzingatiwa ukiona huhitaji kujisajili Fungua Na wewe website yako.
mpumbavu kweli huna hata akili kabisa ya kujiongeza Shenziiiii.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kuna mahali nimekuita mjinga mkuu? Ama hujawahi faulu somo la kiswahili toka uanze shule? Ukiwa unapost mara nyingine acha wenge na tumia akili!
Kissasian.com - Free Popular ABS - CBN Movies and Shows imeshafungiwa na wafilipino wenye tamthilia zao na wanofuatilia haki zao utafikiri Wamarekani tunaomba alternatives.Ingia www.kissasian.com, Kuna Series za kumwaga. Then zidownload kwa kutumia browser inayoitwa Torch au kwa IDM
Pamo1Gud mkuu
Ndio umeshakua mjanja sasathank you maana apa nilikua mshamba
Mie bado mshamba, download kisha unitumie[emoji23]thank you maana apa nilikua mshamba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hayaMie bado mshamba, download kisha unitumie[emoji23]
ngoja nijaribu1.Download app inaitwa YTS MOVIE BROWSER from Google App store
View attachment 784187
2.Kisha download app ya BITORENT from Google play
View attachment 784188
Baada ya luzidownload hizo app mbili anza kufungua app ya YTS na utafute movie unayoitaka kwa mfano "Black panther 2018"
View attachment 784192
Baada ya kuiona movie chagua option ya ukubwa wa movie unayotaka uliyoonyeshwa hapo kama ni mb700,800 au GB 1 , baada ya hapo touch sehem iliyoandikwa magnet
Baada ya kubonyeza sehem iliyoandikwa magnet sasa movie yako moja kwa moja itaanza kushuka kupitia bittorent automatically
View attachment 784196