maswali na majibu ya wanawake wanapotongozwa....

maswali na majibu ya wanawake wanapotongozwa....

kwa uzoefu wangu wanawake wengi hawajui nini wanataka yani wako emotional zaidi kuliko kuwa realistic, mpaka wafanye makosa mengi ndio wawe makini katika kumkubali mwanaume atakae mfaa
 
jamani mimi kitu kinanishangaza ni haya majibu ya wanawake wanapopigwa sound au kutongozwa, kwa mfano
mwanaume; mi nataka niwe na wewe
mwanamke; nina mtu.
mwanaume; kwa hiyo?
mwanamke; ndo hivyo..
mwanaume; kwahiyo hunipendi, hunitaki?
mwanamke; sio hivyo, nimekwambia nna mtu..
kinachonishangaza:hivi kwani kinachowaweka watu pamoja ni kwa sababu hawana watu au kwa sababu wanapendana?
kwanini wanawake hawako direct?
angalia na hii;
mwanaume; nakupenda sana, nataka niwe na wewe.(na maelezo mengine mengi kama kawaida)
mwanamke; mi siko tayari
mwanaume; hauko tayari vipi yani?
mwanamke; kuwa na mtu kwa sasa..
mwanaume; kwanini
mwanamke; sijisikii tu
mwanaume; kwahiyo pendo langu unalipotezea?
mwanamke; hapana, siko tayari tu, labda mbeleni huko
mwanaume; kama hunitaki sa hivi huko mbele ndo utanitaka?
mwanamke; sio kama sikutaki, sema tu sijapanga kuwa na mtu sa hivi, huko mbele si unajua hakuna ajuaye future!!
kinachinishangaza kwanini asiseme tu, sitaki sikupendi? afu kwani m2 huwa anapanga kuwa na m2 au anafall tu!!?

Du mbona hii imekaa old school sana.Kaka jaribu Direct speech.
 
Back
Top Bottom