Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
-
- #621
AZAM is still young, with time they will do wonders. For now, give them a break!
Rais@Jamal Malinzi...naomba ufafanuzi juu ya HABARI..za Tanzania kupitia tff kuomba kuwa mwenyeji wa AFCON...nimeona ktk moja ya group kule Facebook.....pia leo hii gazeti la MWANANCHI limelipoti kuwa KENYA kupitia rais wa fkf kuwa EAC tunaomba kuandaa AFCON kwa pamoja....je huu mpango ni wapamoja au sisi NIA yetu ni kuandaa wenyewe..?..
ni kweli tumepeleka CAF barua ya kuomba uenyeji wa CAF 2017,lakini pia hatuwezi ku rule out uwezekano wa nchi za eneo letu kufanya joint bid.
Mh Malinzi binafsi nakupongeza kwa kujibu maswali kiufasaha na pia wadau tunafaidika na kuelimika na mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu kiundani juu ya mustakabali wa soka letu la bongo. Pia unaonesha busara ya hali ya juu kujibu pale unapokutana na maswali ya kufedhehesha na kukera.
Ila wana JF tunatakiwa tufahamu kuwa maendeleo ya soka letu na good performance ya national team inatokana na umakini wa vilabu vyetu. Hatuwezi kuota afcon wakati vilabu vyetu kila mwaka vinaishia 1st or 2nd round ya africa champions league na havina focus ya maana ktk international level na ndio hv vilabu vinatoa wachezaji wengi T.starz, mnategemea Starz ifike afcon kwa mwaliko au??
Mi nashauri hivi vilabu hasa Simba na Yanga vibadilishwe mfumo wake wa uongozi viwe chini ya kampuni kama Azam ilivyo na huu mfumo wa uanachama ufe kwani ndo unapelekea kupata viongozi wasio na nia ya kuendeleza mpira badale yake imekua genge la wahuni kujipigia hela.
So wadau ndo wenye jukumu la kufanya movements za mabadiliko vinginevyo kila siku tutakuwa tunaibebesha lawama TFF kuhusu national team perfomance!!
WADAU TUAMKE TUACHE UNDONDOCHA
Maadamu wewe anakusikiliza, naomaba unisaidie kumkumbusha kujibu hizi hoja, hizi zimeulizwa siku nyingi, kam ni shida kuzijibu hapa basi aitishe mkutano na wandishi wa habari apangue hoja baada ya hoja. Hakuna haja ya majungu, hoja hujibiwa na hoja, hizi ni zama za ukweli #quote Mkapa legacy
Malinzi
Katika muda mfupi tu wa uongozi wako unakabiriwa na tuhuma nyingi nzito. ili kusafisha jina na heshima yako, unaonaje iundwe tume ambayo ni independent na ina watu wenye heshima kama waakili Said El Maamry, ili kuchunguza na kuweka bayana hizi tuhuma hapa chini
1) Saga la Azam lilivyogubikwa na mwendo wa rushwa, ili ishiriki kombe la kagame kwa mlango wa nyuma. kwani hapa zimeshushwa detail nyingi.
2) Tuhuma za wewe kuweka watu hotelini, na kuwalipia wakati wa uchaguzic.c @FF
3) Kuhamisha offisi kinyemela na kuiweka taasisi ya TFF katika wakati mgumu ki pesa
4) Mradi wa maduka (frame)
5) Kushiriki kumtorosha kinyemela Ngassa kwenda kufanya majaribio Afrika ya Kusini, bila kuwashirikisha Yanga. Habari hizi zilikaliliwa na blog moja , mwenye blog aliandika kuwa mlikutana uwanja wa oliver Tambo, ukawa unalalamika kuwa umefanya kazi kumleta sasa Yanga wanafanya nini? Hili swala halitakiwi kufanywa na mtu kama wewe, inawezekan, huyu mwandishi anataka kukumaliza, au wewe mwenyewe hujajua miiko ya kuongea na wandishi wa habari
Nia si kukutafuta ubaya, bali ili kusafisha jina lako na heshima yako, na taasisi kwa ujumla.

definition hakuna anayemchagulia maart mooij line up,tukubali tu kuwa sisi kama nchi hatukufanyia kazi fundamentals, mpira lazima ujengwe kuanzia chini,kwa ushirikiano na wadau hilo tutalifanya.Kwanza nianze kwaku mshukuru jamali malinzi kwaku endesha TFF kwa usawa japo weakness zimejtokeza kwenye maswala ya national team..! Mm kwa upande wangu napenda zungumzia hili la Afcon kwani naona ni upuzi mtupu kuanda fainali hizi wakati viwanja vina miundo mbinu mibovyo hali ambayo hata tukipata nafasi tita lazmisha michezo yote ichezewe dar es salaam. Pia kung'ang'ania kuanda Afcon ni moja kati ya mbinu zakutaka kuiwezesha tanzania kushiriki fainali hzo bahada yakushindwa kuvuka katika hatua za mchujo.. Swala laku jiuliza nikwamba kama tumeshndwa kuvuka hatua ya mchujo na makundi je tuki anda tukakutana na vigogo sindo itakuja kuwa haibu kwa mwenyeji...?????? Lazma tukubali kuwa tff imeshindwa kukuza soka la taifa letu na swala linalo changia sana ni (TFF KUMCHAGULIA KOCHA WACHEZAJI)
Mdau tyc nikiwa katibu mkuu wa Yanga mwk 2003-2005 nilipambana sana kuhakikisha yanga inabadili mfumo wake wa uendeshaji uwe ni wa kikampuni,wanaojiita wenye Yanga yao kidogo wanitoe roho,walifikia hatua wakakodi vibaka waje kunitishia na visu na mapanga.Bado tuna safari ndefu.
Maadamu wewe anakusikiliza, naomaba unisaidie kumkumbusha kujibu hizi hoja, hizi zimeulizwa siku nyingi, kam ni shida kuzijibu hapa basi aitishe mkutano na wandishi wa habari apangue hoja baada ya hoja. Hakuna haja ya majungu, hoja hujibiwa na hoja, hizi ni zama za ukweli #quote Mkapa legacy
Malinzi
Katika muda mfupi tu wa uongozi wako unakabiriwa na tuhuma nyingi nzito. ili kusafisha jina na heshima yako, unaonaje iundwe tume ambayo ni independent na ina watu wenye heshima kama waakili Said El Maamry, ili kuchunguza na kuweka bayana hizi tuhuma hapa chini
1) Saga la Azam lilivyogubikwa na mwendo wa rushwa, ili ishiriki kombe la kagame kwa mlango wa nyuma. kwani hapa zimeshushwa detail nyingi.
2) Tuhuma za wewe kuweka watu hotelini, na kuwalipia wakati wa uchaguzic.c @FF
3) Kuhamisha offisi kinyemela na kuiweka taasisi ya TFF katika wakati mgumu ki pesa
4) Mradi wa maduka (frame)
5) Kushiriki kumtorosha kinyemela Ngassa kwenda kufanya majaribio Afrika ya Kusini, bila kuwashirikisha Yanga. Habari hizi zilikaliliwa na blog moja , mwenye blog aliandika kuwa mlikutana uwanja wa oliver Tambo, ukawa unalalamika kuwa umefanya kazi kumleta sasa Yanga wanafanya nini? Hili swala halitakiwi kufanywa na mtu kama wewe, inawezekan, huyu mwandishi anataka kukumaliza, au wewe mwenyewe hujajua miiko ya kuongea na wandishi wa habari
Nia si kukutafuta ubaya, bali ili kusafisha jina lako na heshima yako, na taasisi kwa ujumla.
Kwanza nianze kwaku mshukuru jamali malinzi kwaku endesha TFF kwa usawa japo weakness zimejtokeza kwenye maswala ya national team..! Mm kwa upande wangu napenda zungumzia hili la Afcon kwani naona ni upuzi mtupu kuanda fainali hizi wakati viwanja vina miundo mbinu mibovyo hali ambayo hata tukipata nafasi tita lazmisha michezo yote ichezewe dar es salaam. Pia kung'ang'ania kuanda Afcon ni moja kati ya mbinu zakutaka kuiwezesha tanzania kushiriki fainali hzo bahada yakushindwa kuvuka katika hatua za mchujo.. Swala laku jiuliza nikwamba kama tumeshndwa kuvuka hatua ya mchujo na makundi je tuki anda tukakutana na vigogo sindo itakuja kuwa haibu kwa mwenyeji...?????? Lazma tukubali kuwa tff imeshindwa kukuza soka la taifa letu na swala linalo changia sana ni (TFF KUMCHAGULIA KOCHA WACHEZAJI)
Mr Jamal, mimi nina ushauri kuhusu kukuza soka kwa kuanzia mitaani, shuleni na vyuo, moja ya ushauri wangu ni kujenga viwanja vya kisasa hasa vyenye nyasi bandia, je upo tayari kushirikiana na wadau kama hao niliwataja yaani mashule na vyuo kuwatafutia udhamini ili wajengewe viwanja hivyo
Aisee Uongozi kwenye hizi klabu mbili ni Shida sana...Hazitaki mabadiliko zinaendeshwa kwa Matukio tu...Tuna safari ndefu kwa kweli.
Yombayomba :
1.mwenye mamlaka ya kutoa accreditation michano ya cecafa sio TFF ,TFF inapeleka jina tu.Kama una ushahidi wa rushwa uanike hapa kila mtu auone.
2.mpaka leo unazungumzia uchaguzi wa TFF,now i understand why!
3.la kuhamia ppf tower limeelezwa again and again,tulihama kwa nia njema tunarudi karume kwa nia njema.
4.frame karume zitajengwa wala usiwe na wasiwasi
5.malinzi na ngassa? Mpigie uongee naye akueleze kilichomkuta kisha ndo uje kutoa hoja hapa,lini nikahusika na players transfer?
All in all nakuomba tu focus kwenye football development na soon utasikia mengi kuhusu mipango endelevu ya TFF