Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

Rais@Jamal Malinzi...naomba ufafanuzi juu ya HABARI..za Tanzania kupitia tff kuomba kuwa mwenyeji wa AFCON...nimeona ktk moja ya group kule Facebook.....pia leo hii gazeti la MWANANCHI limelipoti kuwa KENYA kupitia rais wa fkf kuwa EAC tunaomba kuandaa AFCON kwa pamoja....je huu mpango ni wapamoja au sisi NIA yetu ni kuandaa wenyewe..?..

ni kweli tumepeleka CAF barua ya kuomba uenyeji wa CAF 2017,lakini pia hatuwezi ku rule out uwezekano wa nchi za eneo letu kufanya joint bid.
 
Sawa..lkn fkf wao wanaomba km EAC yaani itashirikiana na Tanzania na uganda...

Na sisi tumeomba binfsi hatushirikiani na mtu..

Je wamewashirikisha ktk SUALA hilo..?
 
Jamal Malinzi wakati tukiongelea suala la Yanga kutolewa kagame nilieleza namna inavoniumiza kuona dharau zinazofanywa na cecafa juu ya soka la nchi yetu. Ulijibu unavyojua wala siko huko leo.
Sasa dharau hizo zinavuka mipaka na kuingia katika soka la ndani. Huyu kijana Okwi na timu yake ya ushauri wamelidharau soka letu kwa kiwango cha juu.Binafsi najua hayuko peke yake katika hili bali suala zima linaanzia ofisini kwako kwa maana kwamba nahisi(maana siwezi ichunguza ofisi yako) kuna watu wanahusika/wamo humo ofisini kwa ajili ya kuiba nyaraka na kuzitoa nje kinyume cha taratibu,na bahati mbaya sana viongozi wa vilabu vyetu ni mbumbumbu tena mbumbumbu kabisa katika masuala ya taratibu na sheria so wanaongoza kwa kutafuta sifa badala ya kujenga sifa hizo.Nasema hivi nikirejea suala la Okwi na watu ulionao hapo ofisini,nyaraka za ofisi na timu zinazohusika katika suala zima la movie hii.

Nakumbuka siku unatangaza kujiuzulu ukatibu mkuu Yanga ulisema kwamba "...... Yanga si mama yako, wala si baba yako......" nilikusifu katika hili nikasema umeamua kiume. Sasa katika hili pia nahitaji nikuone Malinzi aliyekuwa akisimamia ngumi za kulipwa(pale bado nakusifu), Malinzi aliyesema yanga si baba wala mama yake. Nahitaji kumwona Malinzi atakayesimamia suala la Okwi kwa haki bila kumeza maneno. Iwapo Yanga ndio wana makosa toa utaratibu/adhabu kulingana na kanuni za soka. Kama Okwi ana Makosa toa adhabu kulingana na kanuni. Kama Simba wana makosa toa adhabu kulingana na kanuni. Mwenye kushuka daraja ashuke bila kujali ukubwa wa timu (waende wakajifunze kwa Gormahia na AFC leopards huko ujaluoni).

Na ikitokea ukasimamia kanuni bila kuangalia watu machoni nakwambia Malinzi heshima,nidhamu na adabu vitarudi katika soka la nchi hii. Hawa viongozi wenzako wa vilabu watashika adabu na utakuwa umejijengea heshima kubwa sana katika nchi hii. La hasha ukaogopa siasa za majitaka za mpira wa hapa nchini, bado mambo yataendelea kuharibika na ndipo hata mvuto ulioanza kuonekana sana kwa soka letu utapotea kabisa.

Kama ningekuwa mimi nimevaa viatu vyako halafu timu moja ikaonekana imekiuka utaratibu, na kanuni inasema ishushwe daraja, ningeishusha asubuhi sana bila kuogopa chochote. Ninaposema hivi nina elewa kwamba unazo kamati zinazoshughulikia haya masuala na huenda huingii humo lakini najua kwamba you will be detailed each and everything kabla haijaingia kwenye press conference, hope unaelewa namaanisha nini japo naandika kwa kifupi.Angalia hili suala lisigubikwe na ushabiki wa YANGA NA SIMBA kwa mustakabali wa soka la nchi yetu maana wewe ndo utakayejibu!

Nakutakia kazi njema!
 
Libya has withdrawn from hosting the 2017 African Cup of Nations (AFCON) event due to civil strife in the North African country.Interested countries have up to September 30th 2014 to submit their official bids.
 
Mh Malinzi binafsi nakupongeza kwa kujibu maswali kiufasaha na pia wadau tunafaidika na kuelimika na mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu kiundani juu ya mustakabali wa soka letu la bongo. Pia unaonesha busara ya hali ya juu kujibu pale unapokutana na maswali ya kufedhehesha na kukera.

Ila wana JF tunatakiwa tufahamu kuwa maendeleo ya soka letu na good performance ya national team inatokana na umakini wa vilabu vyetu. Hatuwezi kuota afcon wakati vilabu vyetu kila mwaka vinaishia 1st or 2nd round ya africa champions league na havina focus ya maana ktk international level na ndio hv vilabu vinatoa wachezaji wengi T.starz, mnategemea Starz ifike afcon kwa mwaliko au??
Mi nashauri hivi vilabu hasa Simba na Yanga vibadilishwe mfumo wake wa uongozi viwe chini ya kampuni kama Azam ilivyo na huu mfumo wa uanachama ufe kwani ndo unapelekea kupata viongozi wasio na nia ya kuendeleza mpira badale yake imekua genge la wahuni kujipigia hela.
So wadau ndo wenye jukumu la kufanya movements za mabadiliko vinginevyo kila siku tutakuwa tunaibebesha lawama TFF kuhusu national team perfomance!!
WADAU TUAMKE TUACHE UNDONDOCHA
 
Kwanza nianze kwaku mshukuru jamali malinzi kwaku endesha TFF kwa usawa japo weakness zimejtokeza kwenye maswala ya national team..! Mm kwa upande wangu napenda zungumzia hili la Afcon kwani naona ni upuzi mtupu kuanda fainali hizi wakati viwanja vina miundo mbinu mibovyo hali ambayo hata tukipata nafasi tita lazmisha michezo yote ichezewe dar es salaam. Pia kung'ang'ania kuanda Afcon ni moja kati ya mbinu zakutaka kuiwezesha tanzania kushiriki fainali hzo bahada yakushindwa kuvuka katika hatua za mchujo.. Swala laku jiuliza nikwamba kama tumeshndwa kuvuka hatua ya mchujo na makundi je tuki anda tukakutana na vigogo sindo itakuja kuwa haibu kwa mwenyeji...?????? Lazma tukubali kuwa tff imeshindwa kukuza soka la taifa letu na swala linalo changia sana ni (TFF KUMCHAGULIA KOCHA WACHEZAJI)
 
Maadamu wewe anakusikiliza, naomaba unisaidie kumkumbusha kujibu hizi hoja, hizi zimeulizwa siku nyingi, kam ni shida kuzijibu hapa basi aitishe mkutano na wandishi wa habari apangue hoja baada ya hoja. Hakuna haja ya majungu, hoja hujibiwa na hoja, hizi ni zama za ukweli #quote Mkapa legacy

Malinzi

Katika muda mfupi tu wa uongozi wako unakabiriwa na tuhuma nyingi nzito. ili kusafisha jina na heshima yako, unaonaje iundwe tume ambayo ni independent na ina watu wenye heshima kama waakili Said El Maamry, ili kuchunguza na kuweka bayana hizi tuhuma hapa chini

1) Saga la Azam lilivyogubikwa na mwendo wa rushwa, ili ishiriki kombe la kagame kwa mlango wa nyuma. kwani hapa zimeshushwa detail nyingi.
2) Tuhuma za wewe kuweka watu hotelini, na kuwalipia wakati wa uchaguzic.c @FF
3) Kuhamisha offisi kinyemela na kuiweka taasisi ya TFF katika wakati mgumu ki pesa
4) Mradi wa maduka (frame)
5) Kushiriki kumtorosha kinyemela Ngassa kwenda kufanya majaribio Afrika ya Kusini, bila kuwashirikisha Yanga. Habari hizi zilikaliliwa na blog moja , mwenye blog aliandika kuwa mlikutana uwanja wa oliver Tambo, ukawa unalalamika kuwa umefanya kazi kumleta sasa Yanga wanafanya nini? Hili swala halitakiwi kufanywa na mtu kama wewe, inawezekan, huyu mwandishi anataka kukumaliza, au wewe mwenyewe hujajua miiko ya kuongea na wandishi wa habari

Nia si kukutafuta ubaya, bali ili kusafisha jina lako na heshima yako, na taasisi kwa ujumla.
 
Mkuu ubarikiwe sana! Umesema ukweli mtupu kuhusu Malinzi! Mimi toka enzi za kampeni niliona hawezi. Nilimwona anagombea kwa his personal interests, siyo for tz football interests. Baada ya muda mfupi tu wa uongozi wake kuna tuhuma lukuki. Hebu aunde tume kuzichunguza. Nina hakika hawezi. Badala yake kaanza kulalama anaongoza katika mazingira magumu! Mbona wakati wa kampeni alikuwa na maneno na ahadi lukuki? Typical behaviour za matapeli
 
Jamal Malinzi
Ni kweli kama ilivyo andikwa gazetini leo kuwa akina Samatta wakija kuchezea team ya Taifa huwa wanajilipia nauli wao wenyewe kwa ahadi mtawarudishia na huwa hamuwarudishii?

Kwa nn wachezaji wetu nyota akina Ulimwengu wanatakiwa na kocha lkn hawapo Burundi?Je ndiyo na wao wamegoma mlipo waomba waende Burundi kwa bus?
 
Maadamu wewe anakusikiliza, naomaba unisaidie kumkumbusha kujibu hizi hoja, hizi zimeulizwa siku nyingi, kam ni shida kuzijibu hapa basi aitishe mkutano na wandishi wa habari apangue hoja baada ya hoja. Hakuna haja ya majungu, hoja hujibiwa na hoja, hizi ni zama za ukweli #quote Mkapa legacy

Malinzi

Katika muda mfupi tu wa uongozi wako unakabiriwa na tuhuma nyingi nzito. ili kusafisha jina na heshima yako, unaonaje iundwe tume ambayo ni independent na ina watu wenye heshima kama waakili Said El Maamry, ili kuchunguza na kuweka bayana hizi tuhuma hapa chini

1) Saga la Azam lilivyogubikwa na mwendo wa rushwa, ili ishiriki kombe la kagame kwa mlango wa nyuma. kwani hapa zimeshushwa detail nyingi.
2) Tuhuma za wewe kuweka watu hotelini, na kuwalipia wakati wa uchaguzic.c @FF
3) Kuhamisha offisi kinyemela na kuiweka taasisi ya TFF katika wakati mgumu ki pesa
4) Mradi wa maduka (frame)
5) Kushiriki kumtorosha kinyemela Ngassa kwenda kufanya majaribio Afrika ya Kusini, bila kuwashirikisha Yanga. Habari hizi zilikaliliwa na blog moja , mwenye blog aliandika kuwa mlikutana uwanja wa oliver Tambo, ukawa unalalamika kuwa umefanya kazi kumleta sasa Yanga wanafanya nini? Hili swala halitakiwi kufanywa na mtu kama wewe, inawezekan, huyu mwandishi anataka kukumaliza, au wewe mwenyewe hujajua miiko ya kuongea na wandishi wa habari

Nia si kukutafuta ubaya, bali ili kusafisha jina lako na heshima yako, na taasisi kwa ujumla.

Mkuu hauko serious, hivi hizo changamoto ulizoziorodhesha hapo ndo hasa matatizo ya soka letu bongo?! Kuunda kamati kuchunguza hizo tuhuma zilizotoka vijiwe vya kahawa vya mitaa ya twiga na jangwani ndo hasa zinakwamisha soka letu kwenda mbele au ndo suluhisho la sisi kwenda afcon n WC, huku NDALA FC na MIKIA FC waking'ara afrc champions league!!???
 
Mh Malinzi binafsi nakupongeza kwa kujibu maswali kiufasaha na pia wadau tunafaidika na kuelimika na mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu kiundani juu ya mustakabali wa soka letu la bongo. Pia unaonesha busara ya hali ya juu kujibu pale unapokutana na maswali ya kufedhehesha na kukera.

Ila wana JF tunatakiwa tufahamu kuwa maendeleo ya soka letu na good performance ya national team inatokana na umakini wa vilabu vyetu. Hatuwezi kuota afcon wakati vilabu vyetu kila mwaka vinaishia 1st or 2nd round ya africa champions league na havina focus ya maana ktk international level na ndio hv vilabu vinatoa wachezaji wengi T.starz, mnategemea Starz ifike afcon kwa mwaliko au??
Mi nashauri hivi vilabu hasa Simba na Yanga vibadilishwe mfumo wake wa uongozi viwe chini ya kampuni kama Azam ilivyo na huu mfumo wa uanachama ufe kwani ndo unapelekea kupata viongozi wasio na nia ya kuendeleza mpira badale yake imekua genge la wahuni kujipigia hela.
So wadau ndo wenye jukumu la kufanya movements za mabadiliko vinginevyo kila siku tutakuwa tunaibebesha lawama TFF kuhusu national team perfomance!!
WADAU TUAMKE TUACHE UNDONDOCHA

Mdau tyc nikiwa katibu mkuu wa Yanga mwk 2003-2005 nilipambana sana kuhakikisha yanga inabadili mfumo wake wa uendeshaji uwe ni wa kikampuni,wanaojiita wenye Yanga yao kidogo wanitoe roho,walifikia hatua wakakodi vibaka waje kunitishia na visu na mapanga.Bado tuna safari ndefu.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nianze kwaku mshukuru jamali malinzi kwaku endesha TFF kwa usawa japo weakness zimejtokeza kwenye maswala ya national team..! Mm kwa upande wangu napenda zungumzia hili la Afcon kwani naona ni upuzi mtupu kuanda fainali hizi wakati viwanja vina miundo mbinu mibovyo hali ambayo hata tukipata nafasi tita lazmisha michezo yote ichezewe dar es salaam. Pia kung'ang'ania kuanda Afcon ni moja kati ya mbinu zakutaka kuiwezesha tanzania kushiriki fainali hzo bahada yakushindwa kuvuka katika hatua za mchujo.. Swala laku jiuliza nikwamba kama tumeshndwa kuvuka hatua ya mchujo na makundi je tuki anda tukakutana na vigogo sindo itakuja kuwa haibu kwa mwenyeji...?????? Lazma tukubali kuwa tff imeshindwa kukuza soka la taifa letu na swala linalo changia sana ni (TFF KUMCHAGULIA KOCHA WACHEZAJI)
definition hakuna anayemchagulia maart mooij line up,tukubali tu kuwa sisi kama nchi hatukufanyia kazi fundamentals, mpira lazima ujengwe kuanzia chini,kwa ushirikiano na wadau hilo tutalifanya.
 
Last edited by a moderator:
Mdau tyc nikiwa katibu mkuu wa Yanga mwk 2003-2005 nilipambana sana kuhakikisha yanga inabadili mfumo wake wa uendeshaji uwe ni wa kikampuni,wanaojiita wenye Yanga yao kidogo wanitoe roho,walifikia hatua wakakodi vibaka waje kunitishia na visu na mapanga.Bado tuna safari ndefu.

Aisee Uongozi kwenye hizi klabu mbili ni Shida sana...Hazitaki mabadiliko zinaendeshwa kwa Matukio tu...Tuna safari ndefu kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mr Jamal, mimi nina ushauri kuhusu kukuza soka kwa kuanzia mitaani, shuleni na vyuo, moja ya ushauri wangu ni kujenga viwanja vya kisasa hasa vyenye nyasi bandia, je upo tayari kushirikiana na wadau kama hao niliwataja yaani mashule na vyuo kuwatafutia udhamini ili wajengewe viwanja hivyo
 
Maadamu wewe anakusikiliza, naomaba unisaidie kumkumbusha kujibu hizi hoja, hizi zimeulizwa siku nyingi, kam ni shida kuzijibu hapa basi aitishe mkutano na wandishi wa habari apangue hoja baada ya hoja. Hakuna haja ya majungu, hoja hujibiwa na hoja, hizi ni zama za ukweli #quote Mkapa legacy

Malinzi

Katika muda mfupi tu wa uongozi wako unakabiriwa na tuhuma nyingi nzito. ili kusafisha jina na heshima yako, unaonaje iundwe tume ambayo ni independent na ina watu wenye heshima kama waakili Said El Maamry, ili kuchunguza na kuweka bayana hizi tuhuma hapa chini

1) Saga la Azam lilivyogubikwa na mwendo wa rushwa, ili ishiriki kombe la kagame kwa mlango wa nyuma. kwani hapa zimeshushwa detail nyingi.
2) Tuhuma za wewe kuweka watu hotelini, na kuwalipia wakati wa uchaguzic.c @FF
3) Kuhamisha offisi kinyemela na kuiweka taasisi ya TFF katika wakati mgumu ki pesa
4) Mradi wa maduka (frame)
5) Kushiriki kumtorosha kinyemela Ngassa kwenda kufanya majaribio Afrika ya Kusini, bila kuwashirikisha Yanga. Habari hizi zilikaliliwa na blog moja , mwenye blog aliandika kuwa mlikutana uwanja wa oliver Tambo, ukawa unalalamika kuwa umefanya kazi kumleta sasa Yanga wanafanya nini? Hili swala halitakiwi kufanywa na mtu kama wewe, inawezekan, huyu mwandishi anataka kukumaliza, au wewe mwenyewe hujajua miiko ya kuongea na wandishi wa habari

Nia si kukutafuta ubaya, bali ili kusafisha jina lako na heshima yako, na taasisi kwa ujumla.

Yombayomba :
1.mwenye mamlaka ya kutoa accreditation michano ya cecafa sio TFF ,TFF inapeleka jina tu.Kama una ushahidi wa rushwa uanike hapa kila mtu auone.
2.mpaka leo unazungumzia uchaguzi wa TFF,now i understand why!
3.la kuhamia ppf tower limeelezwa again and again,tulihama kwa nia njema tunarudi karume kwa nia njema.
4.frame karume zitajengwa wala usiwe na wasiwasi
5.malinzi na ngassa? Mpigie uongee naye akueleze kilichomkuta kisha ndo uje kutoa hoja hapa,lini nikahusika na players transfer?
All in all nakuomba tu focus kwenye football development na soon utasikia mengi kuhusu mipango endelevu ya TFF
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nianze kwaku mshukuru jamali malinzi kwaku endesha TFF kwa usawa japo weakness zimejtokeza kwenye maswala ya national team..! Mm kwa upande wangu napenda zungumzia hili la Afcon kwani naona ni upuzi mtupu kuanda fainali hizi wakati viwanja vina miundo mbinu mibovyo hali ambayo hata tukipata nafasi tita lazmisha michezo yote ichezewe dar es salaam. Pia kung'ang'ania kuanda Afcon ni moja kati ya mbinu zakutaka kuiwezesha tanzania kushiriki fainali hzo bahada yakushindwa kuvuka katika hatua za mchujo.. Swala laku jiuliza nikwamba kama tumeshndwa kuvuka hatua ya mchujo na makundi je tuki anda tukakutana na vigogo sindo itakuja kuwa haibu kwa mwenyeji...?????? Lazma tukubali kuwa tff imeshindwa kukuza soka la taifa letu na swala linalo changia sana ni (TFF KUMCHAGULIA KOCHA WACHEZAJI)

kwa hyo kwa kukwepa aibu tuache kuandaa afcon ,aibu waliipata Brazil wc ije kuwa Tanzania?
 
Mr Jamal, mimi nina ushauri kuhusu kukuza soka kwa kuanzia mitaani, shuleni na vyuo, moja ya ushauri wangu ni kujenga viwanja vya kisasa hasa vyenye nyasi bandia, je upo tayari kushirikiana na wadau kama hao niliwataja yaani mashule na vyuo kuwatafutia udhamini ili wajengewe viwanja hivyo

mchango km hii ndyo tunayoitaji cyo ujinga ujinga WA simba na yanga
 
Aisee Uongozi kwenye hizi klabu mbili ni Shida sana...Hazitaki mabadiliko zinaendeshwa kwa Matukio tu...Tuna safari ndefu kwa kweli.

ongea ivo mbele Yao lazima wakuvike joho la mpinzani hivi vilabu cyo tu havitaki mabadiliko pia havitaji fikra mpya ambazo zitawachallenge ili wapige hatua,Leo ukienda yanga na simba na fikra zako za kimaendeleo utapigwa fitina mpk ukome
 
Yombayomba :
1.mwenye mamlaka ya kutoa accreditation michano ya cecafa sio TFF ,TFF inapeleka jina tu.Kama una ushahidi wa rushwa uanike hapa kila mtu auone.
2.mpaka leo unazungumzia uchaguzi wa TFF,now i understand why!
3.la kuhamia ppf tower limeelezwa again and again,tulihama kwa nia njema tunarudi karume kwa nia njema.
4.frame karume zitajengwa wala usiwe na wasiwasi
5.malinzi na ngassa? Mpigie uongee naye akueleze kilichomkuta kisha ndo uje kutoa hoja hapa,lini nikahusika na players transfer?
All in all nakuomba tu focus kwenye football development na soon utasikia mengi kuhusu mipango endelevu ya TFF

milele na milele ntaendelea kuwashangaa wanaoamini kuwa kushindwa kwa taifa stars kushiriki fainal za afcon kunasababishwa na viongozi wa tff! hata aje nani hapo taifa stars kwa sasa hatuwezi kwenda huko cha msingi kipindi chote utakachofanikiwa kukaa madarakani weka base nzuri ya soka ili watakaokufatia waanzie ulipoishia, watu hawakumuelewa maximo alivyoamua kuachana na taifa stars, ikweli alifahamu hata iweje hawezi kuipeleka stars afcon
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom