Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
-
- #961
Anaita wachezaji wazee wanaokaa benchi kina Kiemba, Cannavaro, Kazimoto, Dilunga hata Vitalisi Mayanga 19 years wa Stand hamjamuona? kamuntu wa Ruvu?
Stars siku hizi inachosha na haina mvuto wachezaji wale wale hawajitumi, wamefanya Stars kijiwe cha kupokea posho
Nataka nikwambie kuwa ule uwanja wa taifa haupo kama walivyotuachia wachina, umeona mechi ya juzi ya Yanga na Azamu uwanja mnautia njumu kila siku angalia sasa hauna tofauti na ule wa mkwkwani tanga umeshindwaje kuurepair ule uwanja wakat mapato mnachukua, msipende pesa kama mechi nyingi nyingine peleken chamanzi afu hakikisha kila kilabu kinakua na uwanja wake mnatutia aibu uwanja mpya unakua na vipara ka mbuga za mikumi
Hongera Pukudu,wana Shinyanga jipangeni vyema kwa msimu ujao maana bila shaka kwa kila timu kucheza mechi thelathini katika miji ya Mtwara Mbeya Morogoro Dar Tanga Songea Bukoba na Shinyanga si kazi ndogo.Jamal Malinzi VPL umeionaje? Nakukaribisha Rasmi kwenye Shinyanga derby!! Anyway tupongeze Stand Utd chama la wana! Kwa kusaini mkataba na Acacia Goldmine.
It's Diamond mining vs Gold Mining
Nimetoka kuangalia taifa stars vs Swaziland nilichokiona kinasikitisha. Ila kwa kifup fukuza huyo kocha anakula hela zetu bureeeeee yaan bila jasho hamna anachofundisha pale. Bora mumpe kocha mzawa na sio yule.
makocha wa taifa stars kama wa simba wa kuokota okota wa bei poa
Wachezaji wazee eti unaunda kikosi au mnachukua 10% kwa wachezaji? Timu tokea yametangazwa majina unaona hamna jipya, mnaacha damu changa mnachukua wazee wanaokaa benchi hili litimu limenishindwa wala sina muda wa kuangalia
Uwanja wa Taifa ni mali ya Serikali.TFF inalipia kila inapoutumia.
Wachezaji wazee eti unaunda kikosi au mnachukua 10% kwa wachezaji? Timu tokea yametangazwa majina unaona hamna jipya, mnaacha damu changa mnachukua wazee wanaokaa benchi hili litimu limenishindwa wala sina muda wa kuangalia