Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
- #961
Anaita wachezaji wazee wanaokaa benchi kina Kiemba, Cannavaro, Kazimoto, Dilunga hata Vitalisi Mayanga 19 years wa Stand hamjamuona? kamuntu wa Ruvu?
Stars siku hizi inachosha na haina mvuto wachezaji wale wale hawajitumi, wamefanya Stars kijiwe cha kupokea posho
Pukudu as a rule sipendi kuingilia kazi ya mwalimu.Ila ujumbe wako nitaufikisha.Si unajua miluzi mingi?
cc Malafyale wakimataifa
Last edited by a moderator:
