ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Jamal Malinzi mashabiki wanalalamika viingilio vikubwa mechi ya msumbiji,,wanasema hiyo ni mechi muhimu inatakiwa twende kwa wingi kushangilia ili timu ishinde ijiwekee MAZINGIRA.. mazuri..sasa kama kiingilio kikubwa watu watakuja kweli?...halafu mechi inachezwa muda gani maana watu wako katika MFUNGO...au mmepanga ichezwe USIKU..UFAFANUZI tafadhali
halafu sio kiingilio tu, tiketi zinanunuliwa kwa kieletroniki ,kwa M-Pesa! Sasa jamani ni watu wangapi wanaweza kufanya hivo...yaani kwa kifupi WAMEFELI!