Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

Tunakushukuru sana kuwa karibu na jamii unayoitumikia. Kwa kweli soka letu linahitaji kuondokana na dhana ya usimba na uyanga
Mkuu, vilabu hivi sasa vimebaki na sifa kuu tatu.
1-Siasa>ukitaka nafasi hasa ya ubunge kuwa kiongozi katika vilabu hivi.
2-Ulaji> ukitaka kutetea nafasi yako ya uongozi basi mwaga pesa kwa wapinzani.
3-Ushirikina> ukitaka timu ifanye vizuri basi unda kamati ya ufundi (sio benchi).
 
Malinzi-Marefa, marefa, marefa. Mkuu, mie hupenda kuangalia mechi za ligi yetu kuu kuliko hata England ila kinachonimuzunisha ni marefa wetu kuwa bado hawazawa na utaalam wa kutosha wa kosa la kuotea. Jaribu kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusiana na hili.
 
Nawashauri viongozi wa Yanga wajitoe katika hii move ya kudai haki ya vilabu ikiwa ni kisasi kwa kahaba mkuu SSC na mabinti zake, waliwasaliti Yanga katika udhamini wa Azam TV leo ndio wanazinduka kuibana TFF. Jamal Malinzi songa mbele, Alluta Continua! SSC et al., wanachuja mbu huku wakimeza ngamia, kama wako serious, tuanze na Azam TV waboreshe udhamin kwanza then Jamal Malinzi et al.
 
Last edited by a moderator:
Jamal malinzi
Hiyo 5% unayosema mnataka iende kwenye mpango wa maendeleo ya soka la vijana kupitia tff ningewaelewa kama mngeweka kanuni ya kulazimisha vilabu kutumia 5% ya hizo pesa za udhamini kuwekeza kwenye timu zao za vijana na kuitaka bodi ya ligi kuhakikisha kunakua na ligi ya timu za vijana angalau ungeelewaka na familia ya soka lkn kwa huo mpango wenu mmefeli
 
Mkuu umeongea kitu kizuri sana..
 
Kiukweli huyu JM anatuangusha sana sote tuliokuwa tunampigania achukue madaraka pale TFF, yaani tunaona AIBU sasa. Maana maswali ya waliokuwa wapinzani wetu ni kwamba "mnamuona mtu wenu?". Aisee najuta kuwa upande wa JM bora ningekuwa neutral TU.
Pole mkuu...tunaumia wengi
 
Kigogo, masikrodiga Kipaji Halisi Mjasiria Akili mwangalimungu Wa Kwilondo Masuke nguvu Mawenzi makoyo matale na wengine wote mliochangia hii mada,kwa niwashukuru kwa kuonyesha your concern kuhusu hii kanuni mpya ya mashindano:Naomba sasa niwafahamishe yafuatayo:
1.Kuibua,kukuza na kuendeleza vipaji ni gharama kubwa sana na zoezi hili ideally lilitakiwa lifanywe na vilabu vya madaraja yote kuanzia vya ligi kuu hadi madaraja ya chini.Unfortunately hili linafanyika kwa kiwango cha chini sana.
2.Wadau wa mpira hasa kupitia media wamekuwa wakidai mpira unaporomoka kwa kuwa hatujawekeza katika mpira wa vijana.Uwekezaji huu ni mkubwa kuanzia hatua za kuibua,kulea na kuendeleza vijana.Majuzi tumefanya program ya maboresho ya timu ya Taifa,vijana kumi na moja toka program hii leo wanacheza ligi kuu,bila shaka ni tumaini kuu la Taifa stars ya kesho
3.Mfuko wa kuendeleza soka la vijana vyanzo vyake havitakuwa fedha za TFF peke yake,sisi tunachofanya ni kuandaa mbegu (seed capital) baada ya hapo umma wa watanzania utahamasishwa kuchangia mfuko huu ambao utakuwa huru katika kujiendesha (hautaendeshwa na sekretariet ya TFF).
4.Program za vijana zinaanza mwaka huu hivyo hatuna muda wa kusubiri,mwaka huu kitaifa tutakusanya watoto umri chini ya miaka 12 na kuwahamishia kwenye Academy.lengo letu ni kuwa na timu imara umri chini ya miaka 17 mwaka 2019 ambapo Tanzania ita host fainali za Afrika umri chini ya miaka 17.Tunaamini program tuliyonayo itatufanya 2023 tucheze Afcon finals na tuingie fainali za world cup 2016.Hatuwezi kuongoza TFF bila malengo maalum.
Naomba suala la maendeleo ya mpira wa vijana tulitenge kabisa na siasa za mpira,mpira unahitaji fedha,mpira unahitaji sacrifice kwa wote wanaoutakia mema.
Baada ya kuyasema haya naamini tutashikamana pamoja katika kuinua mpira wetu.Muda wa kuongea kuhusu mpira wa vijana umekwisha sasa ni vitendo,katika hili TFF hatutarudi nyuma.
ahsanteni
 
.........

upuuzi mtupu....wizi...na utengenezaji mianya ya wizi na rushwa....ubabe na ukanjanja tu....nothing new....kama siasa tu

Hiyo 20126 ni nini??....
acheni chuki binafs!!mbona mr presdent anamalengo ya mdamref!! hongera sana jamali malinzi mwanzoni nilikua nakuping ila baada ya kutoa huo ufafanuzi nimeelewa malengo yako!!
 
Kigogo, masikrodiga Kipaji Halisi Mjasiria Akili mwangalimungu Wa Kwilondo Masuke nguvu Mawenzi makoyo matale na wengine wote mliochangia hii mada,kwa niwashukuru kwa kuonyesha your concern kuhusu hii kanuni mpya ya mashindano:Naomba sasa niwafahamishe yafuatayo:
1.Kuibua,kukuza na kuendeleza vipaji ni gharama kubwa sana na zoezi hili ideally lilitakiwa lifanywe na vilabu vya madaraja yote kuanzia vya ligi kuu hadi madaraja ya chini.Unfortunately hili linafanyika kwa kiwango cha chini sana.
2.Wadau wa mpira hasa kupitia media wamekuwa wakidai mpira unaporomoka kwa kuwa hatujawekeza katika mpira wa vijana.Uwekezaji huu ni mkubwa kuanzia hatua za kuibua,kulea na kuendeleza vijana.Majuzi tumefanya program ya maboresho ya timu ya Taifa,vijana kumi na moja toka program hii leo wanacheza ligi kuu,bila shaka ni tumaini kuu la Taifa stars ya kesho
3.Mfuko wa kuendeleza soka la vijana vyanzo vyake havitakuwa fedha za TFF peke yake,sisi tunachofanya ni kuandaa mbegu (seed capital) baada ya hapo umma wa watanzania utahamasishwa kuchangia mfuko huu ambao utakuwa huru katika kujiendesha (hautaendeshwa na sekretariet ya TFF).
4.Program za vijana zinaanza mwaka huu hivyo hatuna muda wa kusubiri,mwaka huu kitaifa tutakusanya watoto umri chini ya miaka 12 na kuwahamishia kwenye Academy.lengo letu ni kuwa na timu imara umri chini ya miaka 17 mwaka 2019 ambapo Tanzania ita host fainali za Afrika umri chini ya miaka 17.Tunaamini program tuliyonayo itatufanya 2023 tucheze Afcon finals na tuingie fainali za world cup 20126.Hatuwezi kuongoza TFF bila malengo maalum.
Naomba suala la maendeleo ya mpira wa vijana tulitenge kabisa na siasa za mpira,mpira unahitaji fedha,mpira unahitaji sacrifice kwa wote wanaoutakia mema.
Baada ya kuyasema haya naamini tutashikamana pamoja katika kuinua mpira wetu.Muda wa kuongea kuhusu mpira wa vijana umekwisha sasa ni vitendo,katika hili TFF hatutarudi nyuma.
ahsanteni

Ndugu Malinzi mnaweza kuwa mmefikiria sana na mkaona ni sahihi kuchukua fedha za udhamini kutoka kwenye vilabu lakini kama mtaamua kutumia nguvu bila kuwashawishi wahusika kwa hoja zenye nguvu mtaleta mgogoro ambao wadhamini wanaweza kuamua kujitoa au vilabu kuamua kuwa ligi yao ambayo haiko chini ya TFF wala CAF wala FIFA na bado vinaweza kupata washabiki pamoja na wadhamini ingawa mshindi hatacheza mashindano yoyote ya CAF.

Kama mnadhani ya kwamba program hiyo ni mwarobaini kwa soka letu ni bora mngetafuta namna nyingine ya kupata hela kwa ajili ya kuendesha hiyo program. Kuna mgawo wa makato ya gate collections kama vile Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu, Vyama vya mpira wa miguu vya mikoa, asilimia kumi mnayopewa na wadhamini wa ligi kuu, udhamini wa TBL (Kilimanjaro) kwa timu ya Taifa, tafuteni namna mchote huko.

Fuateni makampuni yawadhamini, yako mengi na kila mwaka yanatangaza faida kwa nini hizo faida msiende kuziomba japo kidogo, maana nimejaribu kukokotoa na nikapata kiasi cha kama milion 120 na kidogo ambazo mtazipata endapo mtafanikiwa lengo lenu kwa mwaka hizi hela japo kwa vilabu ni nyingi sana lakini kuna makampuni hiyo hela ni ndogo mno kuitoa yafuateni tu.

Kama mnaona kushawishi makampuni ni kazi kubwa basi ifuateni Serikali kupitia wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo si ndo kazi yake watenge hela huko kwa ajili ya maendeleo ya michezo kwa vijana wake, kwa nini mnataka vilabu vifanye kazi yenu au kazi ya wizara?
 
Kumbe ndo maana anaharibu kabisa soka kwa sababu akili yake imejaa katerero, hujuma, wizi, udhulumati, unyang'anyi na ubabe usio na maana.

Kwenye campaign yake hakuwahi kusema kuwa atainua mpira wa nchi hii kwa kuzikata Klabu 5% ya fedha za udhamini!! Huu ni utapeli na wizi
 
Cdhani kama ndugu malinzi ana nia mbaya nia yake ni njema kuundeleza mpira wetu, ni kweli tff cyo kazi yake kuibua vipaji lkn hebu tujiulize hivo vilabu ambavyo ndyo jukum lao kukuza vipaji wamefanya nini mpk Sasa? Hakuna! Sasa anapojitokeza mtu mwenye nia ya dhati kufanya walichoqhindwa kufanya wanampinga? Cku zote tumekuwa tukipiga kelele khs suala la soka la vijana Sasa ndugu malinz kaja na solution mnampinga labda afanyeje labda
 
Ndugu Malinzi mnaweza kuwa mmefikiria sana na mkaona ni sahihi kuchukua fedha za udhamini kutoka kwenye vilabu lakini kama mtaamua kutumia nguvu bila kuwashawishi wahusika kwa hoja zenye nguvu mtaleta mgogoro ambao wadhamini wanaweza kuamua kujitoa au vilabu kuamua kuwa ligi yao ambayo haiko chini ya TFF wala CAF wala FIFA na bado vinaweza kupata washabiki pamoja na wadhamini ingawa mshindi hatacheza mashindano yoyote ya CAF.

Kama mnadhani ya kwamba program hiyo ni mwarobaini kwa soka letu ni bora mngetafuta namna nyingine ya kupata hela kwa ajili ya kuendesha hiyo program. Kuna mgawo wa makato ya gate collections kama vile Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu, Vyama vya mpira wa miguu vya mikoa, asilimia kumi mnayopewa na wadhamini wa ligi kuu, udhamini wa TBL (Kilimanjaro) kwa timu ya Taifa, tafuteni namna mchote huko.

Fuateni makampuni yawadhamini, yako mengi na kila mwaka yanatangaza faida kwa nini hizo faida msiende kuziomba japo kidogo, maana nimejaribu kukokotoa na nikapata kiasi cha kama milion 120 na kidogo ambazo mtazipata endapo mtafanikiwa lengo lenu kwa mwaka hizi hela japo kwa vilabu ni nyingi sana lakini kuna makampuni hiyo hela ni ndogo mno kuitoa yafuateni tu.

Kama mnaona kushawishi makampuni ni kazi kubwa basi ifuateni Serikali kupitia wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo si ndo kazi yake watenge hela huko kwa ajili ya maendeleo ya michezo kwa vijana wake, kwa nini mnataka vilabu vifanye kazi yenu au kazi ya wizara?

serikali ipi hii ya ccm au nyingine? Fedha za serukali zipo kwa ajili ya kulipana posho nene na kununua mashagingi hizo za kuwekeza kwny michezo hazipo
 
Nawashauri viongozi wa Yanga wajitoe katika hii move ya kudai haki ya vilabu ikiwa ni kisasi kwa kahaba mkuu SSC na mabinti zake, waliwasaliti Yanga katika udhamini wa Azam TV leo ndio wanazinduka kuibana TFF. Jamal Malinzi songa mbele, Alluta Continua! SSC et al., wanachuja mbu huku wakimeza ngamia, kama wako serious, tuanze na Azam TV waboreshe udhamin kwanza then Jamal Malinzi et al.

H.E, Hon, C.E.O, President Sir, Highly respected, Nshomile waitu, Mr.Jamal Malinzi tafadhali wasikilize wadau wako maana pasipo hawa wewe huna ofisi. Nashauri tu maana mimi nimeshachoka na ubishi wako.
 
Vilabu vya bongo viongozi Wao wengi upstairs ni zéro wanachoshindwa kuelewa huo uwekezaji Wa 5% wanaopigia kelele unaweza kuja kuwa na faida kwao huko mbeleni hebu hebu piga picha hyo mchezaji mwenye miaka 12 atakaekuwepo kwny hyo program akifikisha miaka 19 kwa vyovyote lazima,arudi kuchezea kwny vilabu hivii hivi ambavyo vinakataa kuchangia hii program mwisho Wa cku akiwa na kiwango kizuri wanaweza kumuuza nje yanchi na kjiingizia kipato kwa hyo utaona Huu ni aina ya uwekezaji ambao utakuwa na faidda kwa vilabu pia ....binafsi nilishangazwa na kauli za ndumbaro khs Huu mchakato hali iliyonifanya niamini kuna harufu kali ya siasa ili kuukwamisha Huu mchakato trust me
 
Jamal Malinzi:
Very nice words, typical of those of a conman (tapeli)! It is simply NOT the duty of tff to oversee youth development! It is the duty of clubs. You have done nothing to force clubs to have youth development programmes. PLEASE STOP IT!! IF YOU THINK YOU CANNOT LEAD TFF WITHOUT THE 5%, RESIGN!!!!

suala kukuza vipaji sio la kuforce vilabu,vilabu vyenyewe vilipaswa kuwa willing kufanya Ivo kwani kukuza kwao c ajili ya tff peke Yao ni kwa faida Yao binafsi km klabu,hya mambo ya kuforce mwisho wake ndyo tunakuja kuona mambo km ya uhai cup timu inakusanywa wiki mbili then inaenda kwny mashindano hlf ingawa mashindano yenyewe ni under 20 lkn kuna wachezaji wengi wamezidi hyo miaka,hii yote ni kutaka kuwaridhusha tff kwamba na Wao wana timmu ya vijana
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu jamal malinzi pole na majukumu ya kazi na tunashukuru kwa kutupa uzi kwa sisi wenye maswali na ushauri.
mimi na ushauri ufuatao ili timu zetu ziweze kufanya vema kwenye mashindano ya mtoano,
Basi hatuna budi mashindano ya kombe la Nyerere ya mtoano yarudishwe kwani,
Yanazipa timu uzoefu wa kucheza michezo ya mitoano. Mashindano kama hayo yanasaidia timu kujifunza kucheza kimkakati kulingana na aina ya mashindano aidha ya ligi au mtoano.
Mashindano ya mtoano yana mikakati yake tofauti na mashindano ya ligi, kuna timu ni nzuri sana kwenye mtoano,zinajua kucheza kwa mbinu.tunahitaji kujifunza vitu kama hivi kwa vitendo,tunapokutana na timu tofauti tunajipangaje,kuna timu ni nzuri katika kulinda lango,wengine ni wanafunga kimoja tu wamemaliza,kila timu ina sifa yake,tumeona hata ligi za ulaya na kwingine mashindano ya mtoano yanakuepo, timu kubwa zitacheza na timu ndogo na timu kubwa saa nyingine kufungwa,hii inathibitisha timu bora haipo kwenye ligi kuu tu.kuna timu zingine zipo daraja za chini lakini zina uwezo mkubwa wa kucheza mashindano ya mtoano kutokana na kuwa na makocha wenye mbinu nzuri ingawa kwenye ligi wanaweza kuwa wabovu lakini kwenye mtoano ni hatari sana.
Hili kombe la mtoano itaibua makocha wenye vipaji wa kufundisha mechi za mtoano na hata kuibua vipaji vya mpira vilivyopo daraja za chini kwani nao wataonekana na maendeleo ya mpira sehemu mbalimbali utakua. kwani wachezaji wa ligi kuu kucheza na wa daraja la chini,kwa wale waliopo daraja la chini watajifunza mengi na kuwaongezea uzoefu na kuondoa ugeni wakiingia ligi kuu kwa mara ya kwanza.

Na ningeshauri haya mashindano ndio yatoe mwakilishi wa kucheza kombe la shirikisho au mshindi wa kombe la nyerere ashindanishwe na mshindi wa 2 wa ligi ili kumpata mwakilishi bora zaidi
 
Back
Top Bottom