Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukishakuwa Rais wa TFF si unakuwa mjumbe moja kwa moja wa kikao cha upigaji kura!? Ama ni kama bungeni kwamba spika anaemaliza muda wake hawezi pata nafasi siku ya uchaguzi unaofuatia mpaka awe ni mbumge pia!?.Kama ndivyo basi Jamal Malinzi ni wa hovyo ever seen,anatuharibia Moira kwa tamaa ya tumbo lake!!rubaman
Huyu mtu wa home hajitambui!Ingawa ni bojo mwenzangu lkn kwa hili hana maana hata kidogo!
Kuwa Mwenyekiti wa Mkoa ina maana atajipigia kura ktk uchaguzi mkuu;hapo kajiongezea kura 1 sandukuni!
Calculation ya hovyo kabisa isiyo ya kidemokrasia
Rais wa TFF hawezi piga kura sababu ni sawa na KUJIONGEA KURA MOJAKwani ukishakuwa Rais wa TFF si unakuwa mjumbe moja kwa moja wa kikao cha upigaji kura!? Ama ni kama bungeni kwamba spika anaemaliza muda wake hawezi pata nafasi siku ya uchaguzi unaofuatia mpaka awe ni mbumge pia!?.Kama ndivyo basi Jamal Malinzi ni wa hovyo ever seen,anatuharibia Moira kwa tamaa ya tumbo lake!!
Elimu ya mpira ni tofauti na ile ya darasani mkuu.Umekuja na matusi na si kujenga hoja? Kimekukera nini, as long as sheria inamruhusu sioni tatizo kugombea mkoa!
He is good upstairs! Alisoma Chemical and Processing engineering UDSM---80's, (miaka hiyo university iko moja) akitokea Ilboru shule ya vipaji.
Then West Germany (before unification) akasoma Masters field hiyo hiyo. Hivyo yuko vizuri kichwani.
Thubutu !Mkuu Malinzi huu uzi utaibuka tena au ndio umekufa?
Kumbe tatizo sio utendaji wake bali ni kabila lake.Malinzi waachie Tff yao waliouchezea mpira sio mzee wa uhayani
Ndio maana hujawa mjumbe sababu wewe umekatwa kichwaNingekuwa mjumbe haaaah zamani ningemkata Malinzi ana jipya kabisa labda kuamisha ofisi pale karume kuzipeleka posta mkapa tower
VP Jaman huyu mwamba katoka Au bado?
Nashauri na Mr WALLACE KARIA naye aje ajiunge nasi Kwan tuna mengi ya kumuuliza kwa manufaa ya soka letu ikumbukwe hii ndio sehemu ambayo hata Mimi shabiki wa kawaida wa LITUMBANDYOSI huku mbinga ruvuma naweza mshauri Mr karia
Sent using Jamii Forums mobile app