chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 311
chumcichumvi naomba nikiri katika hili TFF imewaangusha wadau,nipe muda
Hamna jinsi unaweza ukaniuploadia nikapata katiba ya TFF mkuu au hata kwa email ambayo tayari nimeku-pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chumcichumvi naomba nikiri katika hili TFF imewaangusha wadau,nipe muda
@mluga madai yako SIKUBALIANI NAYO!Mwacheni Malinzi atupe raha watz kwa kwenda Morocco 2015!!Malinzi,
Hili swala kila mtu alilalamika, hata kama wewe hukuhusika lakini hiki kitu ulitakiwa ukikemee. Nchi nyingi zimeingia kwenye civil war kwa sababu kama hii, yakuingizas ukabila kijanjajanja, leo hii afrika ya kati kuna mtu alitegemea yanayoendelea hapo? ndugu zetu wakenya hali unaiona, hivi kweli hakuna watanzania wengine wenye waredi isipokuwa wahaya tu?
Hivi wote wanao lalamika wanakuonea kweli???? jitazame na uone aibu
Utatupeleka kubaya, please nchi haijengwi kwa ujanja ujanja.
Malafyale to be precise National team imekuwa kambini mfululizo ( with short breaks) kuanzia tarehe 07/march/2014 hadi leo, it is very very expensive kutunza kikosi cha watu 30 kuanzia malazi,chakula,usafiri (always kwa ndege mbeya-dar) ,posho,bonus za ushindi (hatudaiwi posho wala bonas hata sh moja) kuweka kambi nje ya nchi,kiukweli pesa za mdhamini tumetumia hadi senti ya mwisho tunaongezea za kwetu wenyewe,nia tufanikiwe kwanza kwa kumwondoa msumbiji ili tuingie makundi ( na tutamung'oa)..@mluga madai yako SIKUBALIANI NAYO!Mwacheni Malinzi atupe raha watz kwa kwenda Morocco 2015!!
Pls tena pls mwacheni Jamal Malinzi na team yake wafanye kazi zao,tuache haya maneno ya vijiweni yasiyo na tija!Mafanikio ya Team ya Taifa ndiyo kielelezo cha kiongozi yyt wa mpira duniani;ukilikoroga team ya Taifa hauna haki ya kuendelea kuongoza FA ya Tanzania!Malinzi kwa miezi 6 tu ya madarakani kaonyesha anaweza:
(1)Kaifanya Tanzania iiondoe Zimbabwe,miaka yote ya WALIO MTANGULIA hawakuwahi fanya kitu kama hiki!Maandalizi yetu sasa ni mazuri mno na naiona hope ya soka la TZ mbele yangu!!
(2)Team imekaa kambini kwa miezi sasa ikijindaa na mechi ngumu na Msumbiji;uongozi uliopita ulikuwa unaokoteza team kwa kuiweka kambini wiki tu then tunatolewa
(3)Hamna anaye uliza hapa ni wapi Malinzi anapata pesa za kuiweka team kambini kwa miezi na kuisafirisha kucheza mechi za kirafiki kujiandaa na mechi ya Msumbiji lkn mna ongelea sana mapato na matumizi ya TFF
Mamndenyi ndugu yetu Malinzi nina imani nae,team yetu ya Taifa sio tena inapata maandalizi ya hovyo hovyo kama tulivyo zoea!Nifikishie salamu zangu!
Belo matarajio yetu kufikia Desemba 2015 tuwe tumemaliza ujenzi wa maduka na ukumbi ibakie hoteli ya ghorofa saba ndo tuendelee nayo taratibu.Jamal Malinzi
Napenda kukupongeza kwa kufikiria kujenga vitega uchumi hapo kwenye ofisi za TFF naamini hii itasaidia sana TFF kupata vipato vya uhakika na kuacha kutegemea vyanzo vya milangoni.
Jamal Malinzi I totally understand you now!We were deadly wrong kipindi kile!FA yyt ile inaangaliwa kwa maandalizi ya team ya Taifa na sasa watz wanaona teams zao zinavyo andaliwa vyemaMalafyale to be precise National team imekuwa kambini mfululizo ( with short breaks) kuanzia tarehe 07/march/2014 hadi leo, it is very very expensive kutunza kikosi cha watu 30 kuanzia malazi,chakula,usafiri (always kwa ndege mbeya-dar) ,posho,bonus za ushindi (hatudaiwi posho wala bonas hata sh moja) kuweka kambi nje ya nchi,kiukweli pesa za mdhamini tumetumia hadi senti ya mwisho tunaongezea za kwetu wenyewe,nia tufanikiwe kwanza kwa kumwondoa msumbiji ili tuingie makundi ( na tutamung'oa)..
wakati huo huo kipindi hiki hiki tumeweka kambini na kusafirisha timu za Twiga stars,Tanzanite (wanawake under20),ngorongoro heroes kwenda nairobi na nigeria,vijana under 15 kambi na safari yao ya olympics botswana walipomaliza runners up na sasa under 17 ipo kambini kujiwinda vs south africa tar 18/07 na baadae kuwasafirisha kwenda south africa na timu zote hizi ukiondoa taifa stars hazina sponsor,ni kazi kubwa lakini tunapambana tutafikia tu malengo yetu ya kuifanya Tanzania itambe kwanza Afrika kisha duniani. Tukijaliwa Septemba tutafanya mashindano ya kitaifa watoto umri chini ya miaka 13. Wanaotutakia mema tunawashukuru wanaotukandia tunawashukuru pia,wahenga walisema ada ya mja ni maneno muungwana ni vitendo.
mluga kwani wewe una wasi wasi na gharama tulizotumia? Hebu nisaidie kitu kimoja,kwa maoni yako ni gharama kiasi gani inatakiwa kuibua na kumwendeleza mchezaji mmoja hadi afikie kiwango cha kuchezea National team yoyote ile duniani? Hivi unazo taarifa kuwa timu hii ya Taifa ya sasa ina wachezaji WANNE ambao wametokana na hii programme? Kwa taarifa timu ya Taifa ya umri chini ya miaka 23 itakayoingia kambini punde kujiandaa na mtoano wa kwenda Olyimpics Rio 2016 asilimia kubwa itatokana na vijana walioibuliwa kwenye program hii.
nikukumbushe tu kuwa sehemu nyingi duniani jukumu la kuibua na kulea vipaji ni la VILABU,hapa Tanzania hilo limekuwa tatizo la muda mrefu na ndio maana TFF tukaamua kuibua wenyewe na sasa hivi vilabu vya ligi kuu vinasajili hao vijana waliotokana na program ya maboresho,hivyo imekuwa vice versa lakini ndio hali halisi.Hata program ya Taifa umri chini ya miaka 13 under 13 ilitakiwa ifanywe na vilabu lakini kwa kuwa havifanyi hiVyo TFF hatuwezi kuruhusu hali ibaki hivyo hivyo tutaubeba huo msalaba ambao ni wa gharama kubwa.Tusitarajie maendeleo ya mpira,hasa wa vijana,kama tutakwepa gharama,hakuna nchi iliyokwenda WC Brazil ambayo miaka ya nyuma haikuwekeza pesa kwa vijana,tuliowaibua hakuna anayezidi umri miaka 23,they are our future.
@mluga madai yako SIKUBALIANI NAYO!Mwacheni Malinzi atupe raha watz kwa kwenda Morocco 2015!!
Pls tena pls mwacheni Jamal Malinzi na team yake wafanye kazi zao,tuache haya maneno ya vijiweni yasiyo na tija!Mafanikio ya Team ya Taifa ndiyo kielelezo cha kiongozi yyt wa mpira duniani;ukilikoroga team ya Taifa hauna haki ya kuendelea kuongoza FA ya Tanzania!Malinzi kwa miezi 6 tu ya madarakani kaonyesha anaweza:
(1)Kaifanya Tanzania iiondoe Zimbabwe,miaka yote ya WALIO MTANGULIA hawakuwahi fanya kitu kama hiki!Maandalizi yetu sasa ni mazuri mno na naiona hope ya soka la TZ mbele yangu!!
(2)Team imekaa kambini kwa miezi sasa ikijindaa na mechi ngumu na Msumbiji;uongozi uliopita ulikuwa unaokoteza team kwa kuiweka kambini wiki tu then tunatolewa
(3)Hamna anaye uliza hapa ni wapi Malinzi anapata pesa za kuiweka team kambini kwa miezi na kuisafirisha kucheza mechi za kirafiki kujiandaa na mechi ya Msumbiji lkn mna ongelea sana mapato na matumizi ya TFF
Mamndenyi ndugu yetu Malinzi nina imani nae,team yetu ya Taifa sio tena inapata maandalizi ya hovyo hovyo kama tulivyo zoea!Nifikishie salamu zangu!
Hayo ni makisio ya awali,michoro ikikamilika zitaandaliwa bills of quantities,tenda itatangazwa mchana kweupe na kila mkandarasi ataleta quotation yake.Hiyo hesabu tulitaka tupewe na wataalam kama makisio ya awali ili tujipime kama tunaweza,na tunaweza kama ikibidi kutumia kiasi hicho.
Hebu tuache ushabiki wa kitoto, hivi waliopita wote hawajawahi kweli kushinda?
Mheshimiwa malinzi napenda kukupa pongezi kwa juhudi unazoonyesha za kuupigania mpira eetu uweze kukua lakini nikiri kwba bado Kuna changamoto nyingi Sana ,changamoto kubwa ambayo ndyo inayotukwamisha kusonga mbele Ni uendeshaji WA timu zetu hasa linapokuja suala la kukuza vipaji .nimeona hpo juu unezungumzia hili .kwba jukum la kukuza vipaj Ni la klabu ila kwakuwa vilabu havifanyi ivo mmeamua kuchukua jukum Hilo ila mi nasema hta km mtawakuza wachezaji wenyewe mwisho WA siku mtawakabidhi kwa timu hizi hizi zenye mifumo mibovu mwisho WA cku vipaji vitashindwa kuendelezwa ....ushauri wangu kwako mheshimiwa Ni vema sass mkaweka msisitizo kwny vilabu juu ya hizi program za under 13 under 17 na under 20 bila ya ivo mheshimiwa tutakuwa tunapiga mark time kila siku kwa sababu naamini nyie peke yenu hamtoweza bila ya ushirikiano WA vilabu . Ni vyema mkaandaa semina kwa viongozi na makocha WA vilabu juu ya umuhimu WA program tens hawa viongozi WA simba na yanga ndyo wanapaswa kupewa msisitizo zaidi kwa sababu hya masuala kwao huwa hayana nafasi
TFF ya Jamal Malinzi na timu yake inatoa matumaini.Nimewakubali walipoamua kukusanya vijana ili kutengeneza timu ya vijana.Wengi waliponda lakini lazima tuwe na timu ya Taifa imara na ya ushindi.Bravo Jamal Malinzi.Miaka mingi sana hatukupata matokeo mazuri kwa utaratibu tuliouzoea kuunda timu ya Taifa.Wachezaji waliochaguliwa walikuwa wanaringa sana,walijisikia mno.
There come times in life when you're faced with a choice that involved risk.Wako watu hawataki risks ktk maisha,wanting guaranteed results.This can result in a life that is flat and lackluster.
"A ship in harbor is safe,-but that is not what ships are for"-John A. Shedd.
Mpango wa maboresho wa Taifa Stars umesaidia sana kuongeza umakini kwa wachezaji.
ahsante komeka ndio maana CAF na FIFA wamekuja na utaratibu mpya wa club licencing,utekelezaji wake ukianza klabu haitaruhusiwa kushiriki mashindano kama haina youth programme,uwanja wa mazoezi,ofisi,vitendea kazi,waajiriwa hasa mtendaji mkuu na mtunza fedha na msimamizi wa usalama.
Haya mambo yakizingatiwa na kusimamiwa barabara, timu pekee zitakazoshiriki ni Yanga na Azam.

Haya mambo yakizingatiwa na kusimamiwa barabara, timu pekee zitakazoshiriki ni Yanga na Azam.