Maswali rahisi ulimwenguni

Maswali rahisi ulimwenguni

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Je, Umegundua duniani kuna vitu mbili mbili?

Giza - Nuru
Moto - Baridi
Chungu - Tamu
Nyeusi - Nyeupe
Ndefu - Fupi
Nene - Nyembamba
Nukia - Nuka
Usiku - Mchana
Jua - Mwezi
Tamu - Chungu
Mwanamume - Mwanamke
Udongo - Maji
Kivuli.......?
Nyota.......?
 
Msanga..msingi....msongo....msungu....
Kama nimeruka utajua mwenyewe🙂
 
Mbaa...mbee.....mbii...mbuu.....
Na hapo vep?...
 
Mkanda...mkende..mkindi..mkondo........
........
Mamaaa weeee
 
Mada ilikuwa nzuri ila umeharibu so wewe ni

Mataka...matake....mataki....matako
MWISHO
 
INAENDELEA.......
kaskazini......kusini
Mashariki......magharibi
Tajiri.......maskini
Mavi.......mkojo
Furaha.....huzuni
Lia....cheka
Ficha.....fichua
Nyege.....?
Punyeto.....?
 
Je, Umegundua duniani kuna vitu mbili mbili?

Giza - Nuru
Moto - Baridi
Chungu - Tamu
Nyeusi - Nyeupe
Ndefu - Fupi
Nene - Nyembamba
Nukia - Nuka
Usiku - Mchana
Jua - Mwezi
Tamu - Chungu
Mwanamume - Mwanamke
Udongo - Maji
Kivuli.......?
Nyota.......?
Kivuli.......?
kinyume cha kivuli ni: mwangaza, mwanga ikiwa "kivuli" kinamaanisha; giza la sehemu kwa sababu ya kizuizi cha miale ya mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, Umegundua duniani kuna vitu mbili mbili?

Giza - Nuru
Moto - Baridi
Chungu - Tamu
Nyeusi - Nyeupe
Ndefu - Fupi
Nene - Nyembamba
Nukia - Nuka
Usiku - Mchana
Jua - Mwezi
Tamu - Chungu
Mwanamume - Mwanamke
Udongo - Maji
Kivuli.......?
Nyota.......?
Nyota
Nyota ni kundi lolote kubwa la angani linalomulika lenyewe ambalo huangaza kwa miale inayotokana na vyanzo vyake vya nishati vya ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom