Maswali saba ya kujiuliza kuhusu uvamizi wa Kim Kardashian

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
  1. Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani kubwa na kujipiga picha kwenye mitandao ya kijamii?
  2. Kwa nini hakukuwa na kamera za CCTV katika nyumba hiyo ambayo ni ya gharama kubwa. Nyumba hiyo inalipiwa karibu Sh 60milioni kwa wiki.
  3. Kwa nini awepo mlinzi mmoja tu kulinda hoteli hiyo ya gharama ambayo nyota wakubwa kama Madonna na Leonardo di Caprio hupanga? Nyumba hizo zina mpishi maalum, dereva na watumishi wengine.
  4. Majambazi waliwezaje kuingia kwenye mlango wa hoteli hiyo wakati unalindwa na mitambo maalum. Milango haikuonyesha kama mtu alilazimisha kufungua au kuvunja kitasa.
  5. Ni taarifa gani mlinzi aliyekuwepo lindo siku hiyo alikuwa nazo kuhusu Kim na wenzake hadi alipobanwa na kufungwa na majambazi akazitoa?
  6. Kwa nini mlinzi wa Kim Pascal Duvier aliondoka na kumuacha mwanamitindo huyo peke yake. Majambazi walijuaje kuwa Kima yupo peke yake?
  7. Kwa nini Kim aliruhusiwa kuondoka Ufaransa saa chache baada ya kuvamiwa
 
Ni kwa sababu kanye west na hawara yake wanajiona wana akili kuliko watu wengi duniani.Kick za beef siku hizi hazina nguvu so ni muhimu kubadili gia kwa anga.
 
Back
Top Bottom