K king ugo Member Joined Dec 19, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Jan 10, 2015 #1 Red scrotum syndrome ina tibiwa na nn na ni nini chanzo chake na kuna madhala ya kula chakula cha moto na tumai wote wazima!
Red scrotum syndrome ina tibiwa na nn na ni nini chanzo chake na kuna madhala ya kula chakula cha moto na tumai wote wazima!
Mrimi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 1,691 Reaction score 640 Jan 11, 2015 #2 Swali: Je, ni daktari alikuwambia huo ugonjwa unitwa hivyo au ni wewe tu umeamua kuuita hivyo?