Maswali tunayoulizwa watu wembamba mara kwa mara

Maswali tunayoulizwa watu wembamba mara kwa mara

Binafsi mi mwembamba kiasi na Hii hainipi shida kwasababu nafeel kuwa comfortable zaidi .

Miaka kadha nilikua mnene na kitambli juu baadae ni kaona kama najizeesha mapema, nikaanza Diet .

Japo in Nature nakaurasta flani ivi Kwa mbali na hii ndo sababu naweza kusema hivi kunanifanya ata nikitupia classic code nakua on point.

Kikubwa Uhai na Ela, Maisha inabidi ya endelee 👽
 
Back
Top Bottom