mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ni kiungo gani lazima kiwe kinene??😂Na kwanini uwe mwembamba mwili mzima🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kiungo gani lazima kiwe kinene??😂Na kwanini uwe mwembamba mwili mzima🤣🤣
Hata miguu tu iwe na nyama...unakuaje mwembamba kabisa 😃😃😃ni kiungo gani lazima kiwe kinene??😂
we kuna kitu chako unawaza😂Hata miguu tu iwe na nyama...unakuaje mwembamba kabisa 😃😃😃
Ahahahh🤣🤣🤣🤣, niacheee 😂😂🙈we kuna kitu chako unawaza😂
zimepanda kichwani😂Ahahahh🤣🤣🤣🤣, niacheee 😂😂🙈
Aah wapi😃zimepanda kichwani😂
Ni kweli Kukonda ni ishara ya kutomudu mlo kamili..Kuna jamaa yangu akienda kusalimia sehemu kwa ndugu au akiingia ktk mji au nyumba ya watu fulani akiona watoto ni wembamba huwa anatoka na dhana kuwa huo mji hawezi kukaa kwa kuwa kuna shida
Roho Mbaya huwezi kuigundua kutokana na mwili wa mtu na ata kama mwili ungekuwa sehemu ya kumtambua wenye roho mbaya basi Vibonge mngekuwa victim how come uwe na kilo 100 na kitu afu mwenzako ana kilo 50 pekee..Mnaulizwa kama mna roho mbaya
Na ukiacha unamwachia nani?Tunaulizwa tuache pombe ngumu
Kuna jamaa yangu akienda kusalimia sehemu kwa ndugu au akiingia ktk mji au nyumba ya watu fulani akiona watoto ni wembamba huwa anatoka na dhana kuwa huo mji hawezi kukaa kwa kuwa kuna shida
Huwa tunaulizwa hivi unapataga nyege kweli wewe???
Mwili wa Kati ndiyo upi mkuu....jaribu kuutuma pm niuelewe.[emoji23][emoji23] mi nipo na mwili wa kati