Maswali ya interview Mbeya cement

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kwema guys?
Tusichokane jamani,nimetwa kwenye interview mbeya cement nafasi ya finance.
Naomba kuuliza maswali gani huwa wanauliza,na mshahara wao huwa ni kiasi gani?
 
Yani tumekuita interview umekuja kutafuta possible huku? Wewe hautufai.

Hahahah nakuzingua mkuu wadau watakuja kukupa mwanga KILA LA KHERI.
 
Kwema guys?
Tusichokane jamani,nimetwa kwenye interview mbeya cement nafasi ya finance.
Naomba kuuliza maswali gani huwa wanauliza,na mshahara wao huwa ni kiasi gani?
Mkuu huna matumaini na TRA nini??
 
Kama ni Oral usijichoshe sana ndugu maswali ni hayo majukumu yako yanabase kwenye utendaji zaidi sio kishule shule zaidi angalia vision na mission na core value na historia ya kampuni yatakusaidia kujibu swali unaelewa nini kuhusu kampuni yetu, kwann unataka kufanya kazi hapa na mengineyo ni General yanajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…