Maswali ya interview NAOT na HESLB

Knut Bjørlykke
Petroleum Geoscience:
From Sedimentary
Environments to Rock
Physics
Kitafute hicho kitabu sema nakuongezea tu unapoomba nafasi angalia taasisi inadeal na nini kwamfano labda Pura au tpdc wale wanadeal na exprolation zaidi kwahiyo maswali yao lazima yatabase kwenye exprolation na geomorphic formations or process
Lakini ni vizuri kusoma yote na pia usisahau kusoma geography ya olevo na advance wanatoaga swali moja la kutoka huko chini
 
Kwa mfano tume ya madini kwenye kipengele Cha mining engineer ,au taec au NEMC kwenye nafasi ya mining niguse wapi na kitabu kipi
 
Kwani wew kiongozi umesomea nn mnk nilijuwa wew umesomeaa accounts

Samahni lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…