Maswali ya interview NAOT na HESLB

Hongeren mlioitwa Kwenye Oral interview ya HESLB wengne tumekandwa na pass mark ya 48 huku dah!
 
Kwanini mkuu kwani ulishapiga oral?
Kwa kawaida kabla kipenga hakijapulizwa, kila mmoja huwa ni mshindi. Ila huo ushindi huwezi kuuamini kwa asilimia zote.

Tukipiga oral kila mmoja atajua ushindi wake utakapoishia.

Kwa tathmini yangu, nje ya uwanja sijioni mshindi ila nitaenda kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…