Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
HahahaUmenikuta napata lunch, unaniulza leo hujafunga? Ntakujbu kwa upole sana, naonja futari.
...10. Mtu anakuona unafyatua tofali na anauliza naona unafyatua tofauli.... Hapana naoka mikate!
Hahahahaupo kamati kuu ya ccm mnajadili majina ya wagombea then mnakata la flani halafu anawauliza mnanikata? unamjibu hapana tunakubadilisha jina.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];?
Nataka kwenda kufua
Ninakutolea kamasi uvunguni mwako8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];?
Nataka kwenda kufua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdada: I will never sleep with a Muslim
Jamaa: pork is haram to Muslim[emoji23]
Hapana tulienda kupigia mbuzi gitaa.Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sijawahi kuona dada faiza amecheka humu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] thread kama hizi ndio unajua vibweka vya JF natumai hata wewe mwenyewe umevunja mbavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jibu mubashara kabisaUmenikuta napata lunch, unaniulza leo hujafunga? Ntakujbu kwa upole sana, naonja futari.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mtu anaona kabisa mwandiko wako mbaya anauliza "ndio una mwandiko mbaya hivi?"
Unamjibu hapana hilo ni gazeti la kihindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha umetisha mkuuDem ana kukuta umekasilika, kwa mshangao!! anakuuliza mbona umekunja sura. mjibu tu kwa upole nataka kuiweka kwenye begi.
Kapata form 4 12 na form 2 4 [emoji23][emoji23][emoji23]FORM 4 ULIPATA NGAPI??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hatari Sana aiseeee