okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,738
Mtu anakukuta unalia halafu anakuuliza mbona unalia?........jibu-kwa sababu sicheki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Mkuu wa mkoa wa Shinyanga?Mtu anakukuta unakamuliwa jipu unapiga kelele kwa maumivu ana kuuliza linauma enhee! Unamjibu muhulize mkuu wa mkoa wa morogoro aliepigwa chini
Mkuu nisipo kupa LIKE nitakua mnafiki 😀😀😀😀Jamaa: We tumbo kubwa ivyoo af unaenda chooni na icho kikopo kidogo Ivyo????
Mchizi: kwani umeambiwa naenda kutawadha tumbo😀😀😀😀😀😀😀😀
Mjibu "Ni kweli nilishakufa na wewe umekufa ndio maana tumekutana hapa Ahera.....Kuzimu"unakutana na mtu,anastuka na kukuuliza nilifikiri ulishakufa...unamjibu nilikufa nikafufuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13]Umejikwaa, unaugulia maumivu, alafu mtu anakuuliza umeumia, taratibu unamjibu hapana nimeliumiza jiwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Upo mezani na muda wa chakula umefika, mtu anakuuliza, na wewe unakula? Wakati anajua toka asubuhi hujala, mjibu hapana, sina tumbo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]upo kamati kuu ya ccm mnajadili majina ya wagombea then mnakata la flani halafu anawauliza mnanikata? unamjibu hapana tunakubadilisha jina.
Hahahahaaa hahahaaa uchokozi huo na muda ndio huu
Hahaha aseehHahahahahaaaaa Tashtiti hizo..
Nimecheka hadi basiMmepewa assignment ya group,siku ya Presentation umesogea mbele ili uliwakilishe group Lecturer anauliza Umekuja kupresent?....Hapana nimekuja kucheza mziki wa Awilo
[emoji38] [emoji38] [emoji38]8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];?
Nataka kwenda kufua