Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

UmeUpload piga Instagram unakula raha zako Bar huku Beer+Mbuzi taratiiiiibu
Jitu linaComment : Naona unakula BATA..
---- kweli bata au Mbuzi
 
Ilikuwa ni jumapili jamaa yangu akanipa ufunguo wa fuso wake kuwa liko gereji nilifuate nafika gereji nikamwambia fundi nimefata gari Ananiuliza utaweza kuliendesha kwa Hasira nikamjibu kwani nalibeba MGONGONI au? Fundi kimya nikawasha gari gia mbele
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ilikuwa ni jumapili jamaa yangu akanipa ufunguo wa fuso wake kuwa liko gereji nilifuate nafika gereji nikamwambia fundi nimefata gari Ananiuliza utaweza kuliendesha kwa Hasira nikamjibu kwani nalibeba MGONGONI au? Fundi kimya nikawasha gari gia mbele

safi sana ulimkomoa hahahaha
 
Ilikuwa ni jumapili jamaa yangu akanipa ufunguo wa fuso wake kuwa liko gereji nilifuate nafika gereji nikamwambia fundi nimefata gari Ananiuliza utaweza kuliendesha kwa Hasira nikamjibu kwani nalibeba MGONGONI au? Fundi kimya nikawasha gari gia mbele
Dah
 
Leo ni sikukuu wameamua kupika pilau na harufu yake inabarizi nyumba nzima, jitu linakuja kukuuliza naona leo kuna mpunga nyumbani kwenu?
Jibu: eeeeenh kuna nguna leo
 
Mnaangalia MTV African music awards live
Na mke wako
Baada ya diamond kufata tuzo yake
Mkeo anajidomolesha "siamini yule ni diamond kweli??"
Unamjibu hapana yule ni LUCKY DUBEl
Duuh,kujidomolesha[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] thread kama hizi ndio unajua vibweka vya JF natumai hata wewe mwenyewe umevunja mbavu
 
Back
Top Bottom