Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Nipo kwenye gari nasafiri, pembeni yangu kaka mdada mrembo, barabara inapita kwenye eneo la makaburi, yule dada anauliza, eti hayo ni makaburi eee? namjbu hapana hapo ni sokoni
 
Jamani mm napenda majibu km haya lkn najikuta siko active katika kurespond, poor me!! ila leo nshajifunza watanikomaaaa[emoji23]
 
Mtu anakupigia cm usiku sana , anakuuliza umelala [emoji4] mjibu nipo nje naota jua[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom