Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Upo kimya hutaki makelele anatokea mtu anakuuliza mbona upo kimya?....mjibu hapana sipo kimya nipo hapa hapa....
 
anapika chakula badala ya kuongeza share but anakuuliza na ww utakula...!unamjibu nimeshiba..!!
 
Umejiandaa Kwenda Marqa Kuhij Umekamilsha Kila Ktu. Wakat Ukosafarin Haf Anatokea Kilaza Anakuulza.... 'Nawe Unaenda Maqa Kuhijh'??
Mwambie Apana Naenda Kuhukumiwa Kunyongwa
 

Hahahaaaaaaaaa! Ahsante sana, yaani nimecheka mpaka machozi! Shukrani sana.
 
mtu anakuuliza nikupikie utakula? wakati anajua hujala toka asubuhi unamjibu hapana nitatema
 
Upo kwenye folen ya kupata kitambulisho cha mpiga kura toka asubuhi hujafikiwa tuu anakuja mtu anakuuliza hujapata kitambulisho tuu....
Nimepata hapa kwenye folen nauza sura

hahahahahah kumbe nawe umo
 
Mmepewa assignment ya group,siku ya Presentation umesogea mbele ili uliwakilishe group Lecturer anauliza Umekuja kupresent?....Hapana nimekuja kucheza mziki wa Awilo
 
Ni usiku wa manane mtu anapiga simu alafu anakuuliza umelala?.... jibu hapana niko nje naota jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…