Maswali ya kijinga na Majibu ya kipumbavu...

Maswali ya kijinga na Majibu ya kipumbavu...

Shangazi mbona una mdomo mkubwa ivo?? Yees!! ili nipate kukula vizuri!! una semaaaaa.....
 
Daaaah!!! Kuna Jamaa aliniuliza unatoka wapi? Nikamjibu natoka duniani naelekea mbinguni
Nikamwacha njia panda ya segerea
 
Nilikutana na doria usiku wa manane wakaniambia eti kwa nini natembea hadi usiku huu,nikamjibu kwani nilitakiwa nitambae?
 
Back
Top Bottom