Maswali ya kikubwa.....!!

Pomole

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
257
Reaction score
7
Kuna watu huwa wanapat vigugumizi katika mambo haya:-
Mosi: Unakaa mahali na wanawake,siku mdada amefua na kuanika nje nguo zake za ndani,Je inaruhusiwa kama imeanguka kumuinulia au kama mvua inakuja kumuanulia na kumpelekea au kama hayupo kumuhifadhia?

Pili:Ukiwa unaishi na mwenzio(mke/mume au mpenzi) ni wakati gani mzuri kunyoa vile vinyweleo vya kwapani au sehemu sehemu?Ni wakati akiwepo na anakuangalia au wakati hayupo na kwa nini.
 
me naishi nyumba nzima peke yangu na bado sijaoa. so mvua ikinyesha inalowanisha za kwangu na sualu la kunyoa ni muda wowote bafuni nyumbani kwangu. ngoja tusubiri wachangiaji wengine. thanks kwa theads yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hiyo title tu haitoshi kuona kuwa umepotea njia na kuleta MMU swali la wakubwa!!!

Peleka kunakohusika tutakuja na majibu right???
 
mmmh kwa kweli mimi siishi nyumba ya kupanga na wala sina mchumba so siwezi kukujibu
 
Ingawa siishi staili hiyo but all in all ikitokea na mimi nipo karibu nakuokotea na kama mvua inakuja nakutolea na kukutunzia ndani bila wasiwasi wowote!!!
Kuhusu kunyoa ikulu hilo swali la Dena Amsi ila anaogopa kujibia hapa sebuleni anataka discussion ifanyike chumbani!!!!:tongue:
 
Hahahahah....! Sasa utaifanyia nini???!!!!....lol

usijefanya kama nani yule aliyekuwa anakusanya halfu akaanza kutafuta soko hapa JF....hahahah!
Naiweka sandukuni,yule jamaa aliwadharau kwani kasikia mnanunua chupi zilizotumika ?
 

Ungeiweka jukwaa la wakubwa ningechangia very independently. Kwa ufupi penye redi hamna swali sidhani kama natofautiana na wenzangu walio katika ndoa ila mimi binafsi nina jukumu la kumnyoa mwenzangu na yeye pia anawajibika kuninyoa
 
Ni nzuri Naisubiri jukwaa la wakubwa
 
icho ni kitu kidogo, juzi nimepita mwenge nimemwona baba mmoja nyuma ya suruali kuna mav.i, yaaani, ni kama alijisaidia kwa utokukaa vizri yakadondokea nyuma ya suruali...watu wote wanamwona lakini wanashindwa waanzie wapi kumwambia. pili, utakuwa mtu mzima mwanamke amekaa uchi amekaa vibaya yaani na wengine siku hizi hawavai kufuli...watu wengine wanamwona, lakini utaanzia wapi kuwambia umekaa vibaya? hayo yote ni maswali ya kikubwa...
 
Hii kitu inaisha bateri
Ngoja niweke kwenye genereta
Ikisha kuwa super charge na turbo charged
halafu nita conect na implare hapo katikti
Nta funga westgate ili exhaust gas ibaki ndani...
Hapo sasa tuna power ya kutosha
halafu ntakujibu
Better be prepare d.
 

unaniruhusu nikikukuta njiani kama zipu imefunguka nikufunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…