Kuna watu huwa wanapat vigugumizi katika mambo haya:-
Mosi: Unakaa mahali na wanawake,siku mdada amefua na kuanika nje nguo zake za ndani,Je inaruhusiwa kama imeanguka kumuinulia au kama mvua inakuja kumuanulia na kumpelekea au kama hayupo kumuhifadhia?
Pili:Ukiwa unaishi na mwenzio(mke/mume au mpenzi) ni wakati gani mzuri kunyoa vile vinyweleo vya kwapani au sehemu sehemu?Ni wakati akiwepo na anakuangalia au wakati hayupo na kwa nini.