Maswali ya Kujiuliza Juu ya Kauli ya Mama Diamond juu ya Baba Diamond

Kiufupi diamond kala hasara hana mama na kwa mwendo huu atateseka sana kwenye upande wa mahusiano na ndoa kiujumla kwa sababu inaoenesha anafuata akili ya mama mjinga.
 
Haya mahojiano yana mwaka mmoja pia akiojiwa na huyohuyo Jonijo

 
Anguko linakuja soonest.

Siombei hili litokee bali wanalitengeneza wenyewe. Kufuru wanazozifanya kwa Mungu watajibu wenyewe.

Mungu awasaidie Diamond na Mama yake
Haya mambo yapo siku nyingi sema wameamuamua tu kuyaweka hadhalani sasahivi
 
 
Mimi nawaza kwa sauti,,Kama mzee Abdul sio Baba ake Mond, Kwanini Mama Dangote aliruhusu mtoto wa Hamisa Mobetto aitwe Abdul?
 
Kwani Abdul YUPO mmoja huyo huyo baba Yake diamond wa kambo?
muache mzee wa watu aishi maisha yake au mnapenda anavyonyanyasika.
Ameshaambiwa mtoto sio wa kwake
BASI.
haya maswali yenu hayamsaidii kitu.
Mama ameshaamua
Mimi nawaza kwa sauti,,Kama mzee Abdul sio Baba ake Mond, Kwanini Mama Dangote aliruhusu mtoto wa Hamisa Mobetto aitwe Abdul?
 
Kwani Abdul YUPO mmoja huyo huyo baba Yake diamond wa kambo?
muache mzee wa watu aishi maisha yake au mnapenda anavyonyanyasika.
Ameshaambiwa mtoto sio wa kwake
BASI.
haya maswali yenu hayamsaidii kitu.
Mama ameshaamua
Kwahiyo diamond ni mtoto wa haramu
 

Mwamba umepiga panga la shingo
 
Kwa huu mvurugiko utasema diamond Ni mtoto wa ndani ya ndoa?.
Mimi naona TUWAACHE wenyewe wayamalize mzee ameshaambiwa mtoto sio wa kwake BASI aendelee na maisha yake.
Kwahiyo diamond ni mtoto wa haramu
 
Tungekua tunafanya mijadala mizito namna hii kuhusu mambo ya uchumi na elimu, tungekua mbali sana!

Acheni kuupa umaarufu upumbavu wa hao malimbukeni!
 
Mambo ni mengi, muda mchache mweeeeeh. Kumekuchaaaaaaa
 
Usilolijua litakusumbua !

Yule mama anajielewa vizuri tu na yule Mzee anaujua ukweli wa swala hilo sema anatafuta huruma ya jamii tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…