Maswali ya kujiuliza kabla hujafungua shauri (case) la madai

Watwange demand letter or notice wakikahidi waburuze mahakamani
 
Mku hbr.
Mimi nimekutana na shida katika kufungua madai yangu kwani nimejikuta nipo nje ya muda kwani deadline ilikuwa jana nikashindwa kufuatilia baada kupata matatizo ya kiafya.
Sasa sijui nifanyeje ili niweze kupata haki yangu.Asante
Unaweza kufanya maombi yako nnje ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…