1.Fiston Abdoulrazack alisema wachezaji wa Simba walionekana hawana akili kwa sababu hawajui hata kujiposition
Je wachezaji wa Berkane walijua kujiposition kwa mkapa?
2.Edo Kumwembe na Ambangile walisema hawakuona nafasi ya chama kwenye game ya kwanza kule Morroco kwa sababu hana speed
Je baada ya game ya pili ilopigwa kwa mkapa bado haoni nafasi ya chama
3.Chuki za kisinda na Fiston ni mpira tu au wana yao moyoni
Maswali mengine tujazilizie na majibu yatolewe tafadhari

Ni swali nauliza kaka sio maoni???
Ashakum si matusi mpira hauujuiKuhusu kujipostion ni kweli lile goli ni maamuzi binafsi ya sakho alipochukua mpira bwalya na kagere walikimbilia golini badala ya kujipostion kuna kipindi morson na kapombe wamekabwa hakuna mchezaji anayeomba mpira wote wamekaa sehemu moja hapo namkumbuka fraga
Bila shaka huu uzi ndo ajenda mnayoijadili kijiweni kwenu baada ya mechi1.Fiston Abdoulrazack alisema wachezaji wa Simba walionekana hawana akili kwa sababu hawajui hata kujiposition
Je wachezaji wa Berkane walijua kujiposition kwa mkapa?
2.Edo Kumwembe na Ambangile walisema hawakuona nafasi ya chama kwenye game ya kwanza kule Morroco kwa sababu hana speed
Je baada ya game ya pili ilopigwa kwa mkapa bado haoni nafasi ya chama
3.Chuki za kisinda na Fiston ni mpira tu au wana yao moyoni
Maswali mengine tujazilizie na majibu yatolewe tafadhari
Ajabu yake ni nin mimi nimejadili kilichopo moyoni mwangu kama unataka kujadili kuhusu penalty na offside hata wew unaweza anzisha thread yakoMnajadili vitu vya ajabu mi nilijua mtajadili kuhusu ile offside ya wamoroko na ile Kama ilikuwa penati au haikuwa!..
Mchezo wa leo umekuwa wa ajabu vitimbi na visa! Wale waarabu wanastahili adhabu na lile goli lao halikuwa goli ile ni offside tena yalizidi mimtu minne kabisa hata aibu hayaoni.. halafu yanasusa mbele ya wanaume wenzao..[emoji23]
Lile swala haukua mchezo wa nje ya uwanja yalikua ni maongezi binafsi yaliyojaa chuki kati Eng Hersi Said na Akina kisinda lini ulisikia maongezi binafsi yanakua published kama mchezo wa nje ya uwanjaSidhani kama hili bandiko lako ulifikiria kabla ya kuliweka.
Kuhusu Kisinda na Fiston hivi unadhani kwa Simba ilipofikia haijui michezo ya nje ya uwanja namna ya kumtoa mchezoni mpinzani au wao hawakufatilia mechi za barkane kujua udhaifu wao?
Unamzunguzia chama na speed bila kujua kila game ina approach yake kutegemea na mpinzani unae kutana nae chama sio mgeni na mechi kubwa za africca.
Kichobaki tuwapeni heshima tu Simba na kile wanachokifanya kwa ajiri ya nchi wengine wamekishindwa .
Kwa hiyo Sakho alitoka jukwaani akaja kufunga? Alipokuwa hadi akapata mpira na nafasi ya kufunga ndio inaitwa kujiposition sasa.Kuhusu kujipostion ni kweli lile goli ni maamuzi binafsi ya sakho alipochukua mpira bwalya na kagere walikimbilia golini badala ya kujipostion kuna kipindi morson na kapombe wamekabwa hakuna mchezaji anayeomba mpira wote wamekaa sehemu moja hapo namkumbuka fraga
Mkuu japo temeahinda Simba hatuweza kujiposition vizur watu wanakimbia nafasi mpaka unahisi kuwa wa naogopa mpira hili mwalimu aliangalie sanatAshakum si matusi mpira hauujui
tuna forward ',diagnal na backward movement kwenye mpira na zote hufanywa on na off the ball
bila ya kagere na bwalya kukimbia sakho asingepata nafasi na eneo la ku cut in na kupiga kixha kufunga