Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,985 Reaction score 5,167 Feb 12, 2026 #1 Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,511 Reaction score 4,369 Feb 12, 2026 #2 Duh Mbona mimi hawajaniita,au ndio kujuana?