Maswali ya wamama mkiangalia pamoja kombe la dunia

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Raha sana na kero pia mkiangalia na wife kombe la dunia. Haya ni baadhi ya maswali yao!
1. Mme wangu hivi Urusi ni Afrika?
2. Huyu mtangazaji mzungu mbona anaongea kiswahili kizuri Kama Mzee Kipeche?
3. Mi nashangilia yule aliyevaa suruali (kocha)
4. Kwa nini kila timu isipewe Mpira wake?
5. Hivi wachezaji wakimaliza kucheza huwa wanaoga?
5. Halafu mume wangu hawa Aseno Leo wanacheza sana, hivi wamepata kipa mpya?
6. Hivi mwaka jana kombe la dunia walishinda Manchesta, eti eeh?
7. Mbona refa wakimpasia ye hapigi Mpira?
8. Hivi kuna mwanaume zaidi ya Ronaldo?

Ha ha haha, Kama una hasira mtagombana maana utakuta timu yako ikifunga anashangilia, mpinzani akishinda anashangilia tena....

Tupia la kwako!
 
Hiyo namba 8 angechezea kichapo tu.
 
Hahahaaa. Ukiona hivyo jua umemlazimisha mkeo akae macho ili na wewe usisinzie.

Yaani wote hamna mapenzi na mpira ila mnafuata upepo.
 
Hahahaa..uwezo wa kufikiri ni 0.1% maana si kwa maswali hayo
Yaani mie mwenyewe nimeshangaa au sijui kwa sababu mpira naujua.

Maana hayo maswali hata katoto ka miaka 04 hakawezi uliza hivyo.
 
Yaani mie mwenyewe nimeshangaa au sijui kwa sababu mpira naujua.

Maana hayo maswali hata katoto ka miaka 04 hakawezi uliza hivyo.
Wewe itakuwa mpira unafuatilia,unadhani swali gani hapo rahisi hata kwa mwanamke halihitaji kufuatilia mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…