Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Raha sana na kero pia mkiangalia na wife kombe la dunia. Haya ni baadhi ya maswali yao!
1. Mme wangu hivi Urusi ni Afrika?
2. Huyu mtangazaji mzungu mbona anaongea kiswahili kizuri Kama Mzee Kipeche?
3. Mi nashangilia yule aliyevaa suruali (kocha)
4. Kwa nini kila timu isipewe Mpira wake?
5. Hivi wachezaji wakimaliza kucheza huwa wanaoga?
5. Halafu mume wangu hawa Aseno Leo wanacheza sana, hivi wamepata kipa mpya?
6. Hivi mwaka jana kombe la dunia walishinda Manchesta, eti eeh?
7. Mbona refa wakimpasia ye hapigi Mpira?
8. Hivi kuna mwanaume zaidi ya Ronaldo?
Ha ha haha, Kama una hasira mtagombana maana utakuta timu yako ikifunga anashangilia, mpinzani akishinda anashangilia tena....
Tupia la kwako!