Namba moja Mkuu.Wewe itakuwa mpira unafuatilia,unadhani swali gani hapo rahisi hata kwa mwanamke halihitaji kufuatilia mpira?
Hahahaaa. Sio rahisi asilimia 99.9 kwenye vibanda umiza huwa ni wanaume sababu wanawake walio wengi wana aibu.Mh! huko akikutana na akina Ma ronaldo wengine itakuaje?
Raha sana na kero pia mkiangalia na wife kombe la dunia. Haya ni baadhi ya maswali yao!
1. Mme wangu hivi Urusi ni Afrika?
2. Huyu mtangazaji mzungu mbona anaongea kiswahili kizuri Kama Mzee Kipeche?
3. Mi nashangilia yule aliyevaa suruali (kocha)
4. Kwa nini kila timu isipewe Mpira wake?
5. Hivi wachezaji wakimaliza kucheza huwa wanaoga?
5. Halafu mume wangu hawa Aseno Leo wanacheza sana, hivi wamepata kipa mpya?
6. Hivi mwaka jana kombe la dunia walishinda Manchesta, eti eeh?
7. Mbona refa wakimpasia ye hapigi Mpira?
8. Hivi kuna mwanaume zaidi ya Ronaldo?
Ha ha haha, Kama una hasira mtagombana maana utakuta timu yako ikifunga anashangilia, mpinzani akishinda anashangilia tena....
Tupia la kwako!
Usikute hayo maswali huwa mnayauliza makusudi ili tuone kero twende vibandani tuwaache muangalie tamthilia zenu za kifilipino.Oooh. Poleni sana.
Muwage mnakwenda vibanda umiza tu kwa kweli.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] looh!Kuna mmoja alinitajia kikosi kizima cha Uruguay,nilikua na lengo la kumtongoza nikaahirisha!
Ndio hivyoo!we unafuatilia mpira?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] looh!
Vibaya mnoo!Ndio hivyoo!we unafuatilia mpira?