Maswali ya wamama mkiangalia pamoja kombe la dunia

Maswali ya wamama mkiangalia pamoja kombe la dunia

Mh! huko akikutana na akina Ma ronaldo wengine itakuaje?
Hahahaaa. Sio rahisi asilimia 99.9 kwenye vibanda umiza huwa ni wanaume sababu wanawake walio wengi wana aibu.

Labda kama kwenye zile sehemu za wazi ndio waeza sema anaweza kutana nao.

Nadhani nimekuelewa ulichomaanisha Mkuu.
 
Raha sana na kero pia mkiangalia na wife kombe la dunia. Haya ni baadhi ya maswali yao!
1. Mme wangu hivi Urusi ni Afrika?
2. Huyu mtangazaji mzungu mbona anaongea kiswahili kizuri Kama Mzee Kipeche?
3. Mi nashangilia yule aliyevaa suruali (kocha)
4. Kwa nini kila timu isipewe Mpira wake?
5. Hivi wachezaji wakimaliza kucheza huwa wanaoga?
5. Halafu mume wangu hawa Aseno Leo wanacheza sana, hivi wamepata kipa mpya?
6. Hivi mwaka jana kombe la dunia walishinda Manchesta, eti eeh?
7. Mbona refa wakimpasia ye hapigi Mpira?
8. Hivi kuna mwanaume zaidi ya Ronaldo?

Ha ha haha, Kama una hasira mtagombana maana utakuta timu yako ikifunga anashangilia, mpinzani akishinda anashangilia tena....

Tupia la kwako!

Shemeji yetu ndo anafikiri hivi?
 
Oooh. Poleni sana.

Muwage mnakwenda vibanda umiza tu kwa kweli.
Usikute hayo maswali huwa mnayauliza makusudi ili tuone kero twende vibandani tuwaache muangalie tamthilia zenu za kifilipino.
 
Yote kwa yote wana maswali magumu na korofi Sana
 
Hilo swali la mwisho lazima umkate jicho kali la onyo[emoji3]
 
hivi mme wangu bingwa anapewa kombe sasa atalifanyia nini na lina faida gani?
 
Back
Top Bottom