Maswali ya watangazaji wetu: Diamond au Ali Kiba?

Ki uhalisia anayebamba hapa ni mmoja tu kati yao, ila huyu mwingine ni mpinzani Bandia naweza kusema hivyo!!

Ili kudhihirisha kuwa ni kweli hapo ulipo USHAMJUA bandia!!
 
tafuta jibu la sugu FNL juu ya diamond/kiba ufurahi na roho yako
 
Ki uhalisia anayebamba hapa ni mmoja tu kati yao, ila huyu mwingine ni mpinzani Bandia naweza kusema hivyo!!

Ili kudhihirisha kuwa ni kweli hapo ulipo USHAMJUA bandia!!
Hahaaa kwel. Anayebamba ni m1
 
Ki uhalisia anayebamba hapa ni mmoja tu kati yao, ila huyu mwingine ni mpinzani Bandia naweza kusema hivyo!!

Ili kudhihirisha kuwa ni kweli hapo ulipo USHAMJUA bandia!!
Kiukweli namkubali sana Diamond Simba, A.k.a team wasafi kula nyapu za Dada zao
 
Bongo Kuna wasanii wazuri kibao..Media na mashabiki waliolishwa limbwata ndo wanasababisha haya yote..Inaboa
 
Kwa watangazaji/watu wa habari wanaamini hakuna wrong questions kuna wrong answers pekee.
 
tafuta jibu la sugu FNL juu ya diamond/kiba ufurahi na roho yako
Alijibu nini ...... kama ninavyosema hakuna msanii watakaye muhoji wasimuulize, unamkubali nani DIAMOND au ALIKIBA .... imekuwa ni kero eti.
 
koffi olomide alipokuja bongo kjna mtangazaji alimuuliza Koffi kati ya Ferre Gola na Fally Ipupa yy anamkubali nani, koffi akajibu kifupi tu kuwa amechoshwa na maswali ya waandishi wa Afrika, kila siku ni maswali ya Ferre na Fally kwann wasimuulize maswali juu ya mziki wake?
 
Kwa watangazaji/watu wa habari wanaamini hakuna wrong questions kuna wrong answers pekee.
Kama hii ndio falsafa yao,basi wanaitumia vibaya, haiwezekani mimi nije kutambulisha nyimbo/albamu yangu kisha wewe (mtangazaji) utumie 80% ya mahojiano yetu kwa kuniuliza habari za wasanii 2 "wanaosemekana wana bifu" kama ni hivo kwa nini usiniulize kuhusu muziki waTZ kwa ujumla wake.
 
Na wasanii wa kibongo wangekuwa wanafanya hivo, niulize mimi na muziki wangu mambo ya ALIKIBA na DIAMOND waulize wenyewe.
 
mapresenter hawapo kuwasaidia wasanii kujieleza ili kufukisha ujumbe walio nao kwa hadhira,bali wao wanapenda kucapture attention za fans,wanajua hayo maswali yatacreate attention kubwa kwa mashabiki,bhas ndo mana wanayauliza frequeently coz wanajua fans wako either team A au B na watapenda kusikia team yao ikipewa credits zaid.team mondi watatega sikio na team kiba watatega sikio kusikia kuwa anayehojiwa ni mfuasi wa pande ipi.mfano kitale alipoulizwa kati ya kiba na mondi ni nani anamkubali zaid? na salama jabir.alijibu ni fulani anayemkubali kuliko mwenzie.bhas wenye team walifarijika lakin salama alijua hili swali fans wanataka kujua jibu lake so ni kaz yake kulifikisha kwa mlengwa na ukizingatia fans wa hz teaam mbili wapo wengi.
 
Kwahiyo ule msemo wa "wanaowatengeneza wasanii ni wao (media) na wanaowaharibu wasanii ni wao" inakuwa ni sahihi,wapo kwaajili ya kuwatengeneza baada ya hapo wanabomoa.
 
Umenena ndugu maana inabidi mtu uwafolo tu kujua yao ya maishani...hao wanataka kujipatia pesa tu kwa zaidi
 
Kwahiyo ule msemo wa "wanaowatengeneza wasanii ni wao (media) na wanaowaharibu wasanii ni wao" inakuwa ni sahihi,wapo kwaajili ya kuwatengeneza baada ya hapo wanabomoa.
yep! ni kweli mkuu,hizi media zinaweza kufanya wasanii na industry yote ikadevelop na vice versa
 
hayo maswali ndiyo watu wanapenda kuyasikia majibu yake
 
Ali kiba anastahili pongezi...amekuwa serious na mziki.Hit after hit...mwana,chekechua,nagharamia,aje...Kwasasa diamond hawezi fika level za Ali,seriously.Tuache ushabiki tuwe wakweli
 
Mi naskilizaga amplifaya na bbc tu nikimaliza naweka mp3.nyimbo za mbele.
Mbele napo huwa wanamckiliza mondi bin laden
Kwahiyo haina mbaya msanii kuulizwa maswali yanayowahusu hawa jamaa kuliko maswali yanayonihusu mimi na muziki wangu ??? ( mana kati ya maswali 15 basi 10 yatahusu hawa jamaa iwe direct or indirect. )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…