Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,207
Sahihi!Alipo ALIKIBA atatajwa na DiAMOND Lakini alipo DIAMOND ni vigumu ALIKIBA kutajwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi!Alipo ALIKIBA atatajwa na DiAMOND Lakini alipo DIAMOND ni vigumu ALIKIBA kutajwa.
Ki uhalisia anayebamba hapa ni mmoja tu kati yao, ila huyu mwingine ni mpinzani Bandia naweza kusema hivyo!!Sioni ubaya wowote ule kwa sababu (1) hao wasanii wawili ['Mondi na Kiba] ndo wanaobamba sasa hivi na ndo gumzo la mjini na (2) hao watangazaji wanatimiza wajibu wao kwa kuuliza hayo maswali maana ndo kazi yao hiyo na wanauliza kuhusu jambo lililo vinywani mwa wapenzi wengi wa muziki wa kizazi kipya.
Hahaaa kwel. Anayebamba ni m1Ki uhalisia anayebamba hapa ni mmoja tu kati yao, ila huyu mwingine ni mpinzani Bandia naweza kusema hivyo!!
Ili kudhihirisha kuwa ni kweli hapo ulipo USHAMJUA bandia!!
Kiukweli namkubali sana Diamond Simba, A.k.a team wasafi kula nyapu za Dada zaoKi uhalisia anayebamba hapa ni mmoja tu kati yao, ila huyu mwingine ni mpinzani Bandia naweza kusema hivyo!!
Ili kudhihirisha kuwa ni kweli hapo ulipo USHAMJUA bandia!!
Kama hii ndio falsafa yao,basi wanaitumia vibaya, haiwezekani mimi nije kutambulisha nyimbo/albamu yangu kisha wewe (mtangazaji) utumie 80% ya mahojiano yetu kwa kuniuliza habari za wasanii 2 "wanaosemekana wana bifu" kama ni hivo kwa nini usiniulize kuhusu muziki waTZ kwa ujumla wake.Kwa watangazaji/watu wa habari wanaamini hakuna wrong questions kuna wrong answers pekee.
Na wasanii wa kibongo wangekuwa wanafanya hivo, niulize mimi na muziki wangu mambo ya ALIKIBA na DIAMOND waulize wenyewe.koffi olomide alipokuja bongo kjna mtangazaji alimuuliza Koffi kati ya Ferre Gola na Fally Ipupa yy anamkubali nani, koffi akajibu kifupi tu kuwa amechoshwa na maswali ya waandishi wa Afrika, kila siku ni maswali ya Ferre na Fally kwann wasimuulize maswali juu ya mziki wake?
Umeongea ukweli mtupuAlipo ALIKIBA atatajwa na DiAMOND Lakini alipo DIAMOND ni vigumu ALIKIBA kutajwa.
Kwahiyo ule msemo wa "wanaowatengeneza wasanii ni wao (media) na wanaowaharibu wasanii ni wao" inakuwa ni sahihi,wapo kwaajili ya kuwatengeneza baada ya hapo wanabomoa.mapresenter hawapo kuwasaidia wasanii kujieleza ili kufukisha ujumbe walio nao kwa hadhira,bali wao wanapenda kucapture attention za fans,wanajua hayo maswali yatacreate attention kubwa kwa mashabiki,bhas ndo mana wanayauliza frequeently coz wanajua fans wako either team A au B na watapenda kusikia team yao ikipewa credits zaid.team mondi watatega sikio na team kiba watatega sikio kusikia kuwa anayehojiwa ni mfuasi wa pande ipi.mfano kitale alipoulizwa kati ya kiba na mondi ni nani anamkubali zaid? na salama jabir.alijibu ni fulani anayemkubali kuliko mwenzie.bhas wenye team walifarijika lakin salama alijua hili swali fans wanataka kujua jibu lake so ni kaz yake kulifikisha kwa mlengwa na ukizingatia fans wa hz teaam mbili wapo wengi.
yep! ni kweli mkuu,hizi media zinaweza kufanya wasanii na industry yote ikadevelop na vice versaKwahiyo ule msemo wa "wanaowatengeneza wasanii ni wao (media) na wanaowaharibu wasanii ni wao" inakuwa ni sahihi,wapo kwaajili ya kuwatengeneza baada ya hapo wanabomoa.
Mbele napo huwa wanamckiliza mondi bin ladenMi naskilizaga amplifaya na bbc tu nikimaliza naweka mp3.nyimbo za mbele.
Kwahiyo haina mbaya msanii kuulizwa maswali yanayowahusu hawa jamaa kuliko maswali yanayonihusu mimi na muziki wangu ??? ( mana kati ya maswali 15 basi 10 yatahusu hawa jamaa iwe direct or indirect. )