Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu .. acha manenoWazazi wako wamepata khasara kubwa mno na hela waliotumia kukusomesha ni kama yai viza [emoji41] kijana maswali nyanya hayo yakubonda kabisa.
Ipo siku mtihani wa utumishi utavuma zaid ya kusaka vyeti kisa umburula[emoji16]
Google ina kazi gani?wale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali
1.mention components of research design
2. analysis of data in research is done in stages.explain
Mr,, hayo maswali utayaona kama yakisenge Ila kama Ila kama umeingia kwenye pepa bila kupitia huwez kutoboa plus stress za mda mchache kwenye pepa za utumishiWazazi wako wamepata khasara kubwa mno na hela waliotumia kukusomesha ni kama yai viza 😎 kijana maswali nyanya hayo yakubonda kabisa.
Ipo siku mtihani wa utumishi utavuma zaid ya kusaka vyeti kisa umburula😁
Neno lenyewe research hajui kuliandika atajibu maswali kweliWazazi wako wamepata khasara kubwa mno na hela waliotumia kukusomesha ni kama yai viza [emoji41] kijana maswali nyanya hayo yakubonda kabisa.
Ipo siku mtihani wa utumishi utavuma zaid ya kusaka vyeti kisa umburula[emoji16]
Hapo 6 kwani lazima niwe nimefanya exploratory, what if nimefanya hypothesis testing au explanatorystage of data analysis in research
1) data editing
2)data coding
3) data entry
4) data processing
5)data cleaning
6)exploratory data analysis
7)modeling and algorithms
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mwenyewe nilisemaga hayo maswali ni magumu alafu kule utumishi wanatoa mda mdogo hvyo kama mtoa mada hakupitia before lazima adabe, pia hata hapa Kila mtu anatoa jibu lake yaan hakuna jibu linaloonekana ni sahihi.. Pia hata huko google ukisearch unaletewa majibu kibao Hadi unachanganyikiwaHapo 6 kwani lazima niwe nimefanya exploratory, what if nimefanya hypothesis testing au explanatory
Research haijibiwi na utaalamu wa lugha wewe meneja. Research is a systematic and scientific....Kweli Tanzania Tatizo ni lugha ndugu zangu. Hii ni aibu sana badilisheni mfumo hilo swali litaonekana ni kama story za ngoswe
Nakubali mkuuResearch haijibiwi na utaalamu wa lugha wewe meneja. Research is a systematic and scientific....
No matter what utaweka definition ila hayo maneno mawili ndio key terms.
Ukishaona kitu kinatakiwa kuwa systematic and scientific ujue hata uwe umezaliwa Uingereza na English umeitumia kunywea uji, hujibu hilo swali kama hujasoma na huelewi. Hizi sio strategies to.., impacts of..., consequences of..., towards the...