Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa kunipa mwanga,Components of a research design
1) Type of information need to address the research problem
2) Deciding on the overall design
3) Measurement design
4) Forms for data collection
5) Sampling plan
6) Data analysis plan
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
acha kulalama wewe, jibu maswali kama haujui pita kushoto usinitoe nje ya reliLevel yako ya elimu ni ipi?
Kama umefika level ya chuo kikuu,na hujui components za research design, na hujui hata jinsi ya kutafuta maana yake kwa kupitia educational sites mbalimbali mitandaoni, basi kama taifa, TUMEKWISHA!
Acheni ujuaji wa kijinga! Hayo maswali ni magumu sana! Inabidi uwe mtu wa kusoma sana na mtu wakuwa up-to-date sana! Vinginevyo utashindwa tu! Mtu umemaliza chuo miaka 7 huko,unapiga mishe za udalali siku unaenda kwenye usaili,unakutana na maswali kama hayo,utatoboa kweli??
1. Niliwahi ulizwa Juice kwa kiswahili,nilibaki natoa macho tu.
2. Password kwa kiswahili
3. Nchi ya kwanza kuanzishwa duniani
4. Nchi ndogo kabisa duniani
5. Mwendesha mashitaka wa ICC 2015
6. Msajiri wa vyaka vya siasa Tanzania 2015
7. Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi 2015!
Kazi ilikua Operations officer PPF enzi hizo!
Walitoa majibu kaka,walipewa kazi wale waliokua wanafanya field paleNaikumbuka hii, hivi matokeo yalitoka? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona maswali rahisi sasa? Watoto wa IFM vichwa vigumuAcheni ujuaji wa kijinga! Hayo maswali ni magumu sana! Inabidi uwe mtu wa kusoma sana na mtu wakuwa up-to-date sana! Vinginevyo utashindwa tu! Mtu umemaliza chuo miaka 7 huko,unapiga mishe za udalali siku unaenda kwenye usaili,unakutana na maswali kama hayo,utatoboa kweli??
1. Niliwahi ulizwa Juice kwa kiswahili,nilibaki natoa macho tu.
2. Password kwa kiswahili
3. Nchi ya kwanza kuanzishwa duniani
4. Nchi ndogo kabisa duniani
5. Mwendesha mashitaka wa ICC 2015
6. Msajiri wa vyaka vya siasa Tanzania 2015
7. Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi 2015!
Kazi ilikua Operations officer PPF enzi hizo!
mbona na sisi masikini tunapata bila hongo. Ukishindwa au ukiona ulijibu vizuri jua kuna waliojibu vizuri zaidi yako.Utumishi wanakula rushwa wana watu wao ambao wametoa rushwa ya milioni mbili mbili kwa nafasi ya kazi,hivyo ukiomba kazi ajira portal jua wanafanya formalities tu lkn wana watu wao tayri hata kama utajibu maswali yao kwa ufasaha.
Asa mbona ndo maswali mepesi kuliko yote kwenye interviews [emoji1] au kwa sababu nimefundisha sana researchwale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali
1. Mention components of research design
2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
Components of a research design
1) Type of information need to address the research problem
2) Deciding on the overall design
3) Measurement design
4) Forms for data collection
5) Sampling plan
6) Data analysis plan
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
components of research design-hapa anataka umention ila sio mbaya ukajua na maelezo ya point moja mojawale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali
1. Mention components of research design
2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
Naomba nikusamehe bure tuMbona maswali rahisi sasa? Watoto wa IFM vichwa vigumu